Jinsi ya kumchuna mwanamke

Duuh, utakuja kudaiwa wanawake hawasahau madeni
 
Kwa nn umchune mwanamke ni aibu ata kuongea kwa watu

Sent from my SM-G950FD using JamiiForums mobile app
 
Dah siku ukimwambia nakuacha anaanza kukudai hela zake zote me ishanitokea hiyo

Post sent using JamiiForums mobile app
mim mwenyew nishq rudisha yan atakuwa anakusumbua ballllah

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Wewee! Mwanaume utamtegemeaje mwanamke aisee!? Kupiga show ni jukumu lako lakini kusaka hela pia ni jukumu lako. Huoni aibu kuhongwa na mwanamke?

Sent from my Nokia-toch using JamiiForums mobile app
Haumtegemei.sasa kama mwanamke ana fanya kazi au biashara na hana ana kwanini usizile,?ila mbaya kutofanya kazi na wewe hapo ndo utaitwa mario.ila kama una mishe mishe zako hapo poa.acha watusaidie.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mimi mpare jamani mwanaume anipe ufundi wooote nami ntampa ufundi kama fadhira ila pesa nijambo lingine,niwajibu Wa mwanaume aliyekamilika kumridhisha mwanamke bwana

Post sent using JamiiForums mobile app
Tunasaidiana maisha kama unacho unampa tu c unampenda na biblia inasema umebarikiwa mkono unaotoa kuliko unao pokea hivyo ukitoa utapata naraka

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hii ni kwel kabisa,unapiga kaz mpaka anaomba maji

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Unaambiwa hivi
"Mwanaume jukumu lako ni kumlisha mwanamke period!!!
Siku ukigeuza huo msemo utajuta kitakachokupata
Muulize Hawa siku alipogeuza huo msemo kwa kumlisha adamu tunda tu [emoji294][emoji817][emoji817][emoji817][emoji294]
[emoji817][emoji294][emoji817][emoji817][emoji294]
[emoji294][emoji294][emoji817][emoji817][emoji294]
[emoji294][emoji294][emoji817][emoji817][emoji294]
[emoji294][emoji294][emoji817][emoji817][emoji294]
[emoji294][emoji294][emoji817][emoji817][emoji294]
[emoji294][emoji294][emoji294][emoji294][emoji294]
[emoji294][emoji817][emoji817][emoji817][emoji294]
[emoji817][emoji817][emoji294][emoji817][emoji817]

Unajua nini kilitokea?
Kasome biblia yako utapata majibu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hayo ni maneno tu.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Na kama hana ya kukukopa unafanyaje

Sent from my SM-N910C using JamiiForums mobile app
 
Kwa wale wanaume wanaopenda kitonga, sikuizi mbinu rahisi za kumchuna mwanke ni kumgegeda vizuri alafu unamwambia akukope hela. Akikupa tu humrudishii na kesho yake unamkopa tena. Hapo utakuwa unamchuna kilaiiini bila bugdha.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hili ni kweli kabisa wanaume wa aina hiyo wapo ila mkipewa siyo kwamba ndio mmegegeda vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…