Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mim mwenyew nishq rudisha yan atakuwa anakusumbua ballllahDah siku ukimwambia nakuacha anaanza kukudai hela zake zote me ishanitokea hiyo
Post sent using JamiiForums mobile app
Ndio kujiuza huko.Sio kujiuza hapa ni kuchuna tu kwa stail ya kisomi
Haumtegemei.sasa kama mwanamke ana fanya kazi au biashara na hana ana kwanini usizile,?ila mbaya kutofanya kazi na wewe hapo ndo utaitwa mario.ila kama una mishe mishe zako hapo poa.acha watusaidie.Wewee! Mwanaume utamtegemeaje mwanamke aisee!? Kupiga show ni jukumu lako lakini kusaka hela pia ni jukumu lako. Huoni aibu kuhongwa na mwanamke?
Sent from my Nokia-toch using JamiiForums mobile app
Mkiambiwa ukweli povu.Unalipwa kwa Kazi unayofanya.
Mkuu niunge namimambo haya ungepeleka kule kwenye forum ya kiumeni....kama hujakuwa connected omba mods pm wakuingize
usitoe siri hovyo
Tunasaidiana maisha kama unacho unampa tu c unampenda na biblia inasema umebarikiwa mkono unaotoa kuliko unao pokea hivyo ukitoa utapata narakaMimi mpare jamani mwanaume anipe ufundi wooote nami ntampa ufundi kama fadhira ila pesa nijambo lingine,niwajibu Wa mwanaume aliyekamilika kumridhisha mwanamke bwana
Post sent using JamiiForums mobile app
Hiyo haijalishi mkuuNa hizo hela anachukua kwa wenzio wanaomkaza kiulainii
Haijalishi kwa mariooHiyo haijalishi mkuu
Post sent using JamiiForums mobile app
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Ha ha ha ha. Hali ngumu aiseee, mpaka wakaka wanajiuza now days
Hayo ni maneno tu.Unaambiwa hivi
"Mwanaume jukumu lako ni kumlisha mwanamke period!!!
Siku ukigeuza huo msemo utajuta kitakachokupata
Muulize Hawa siku alipogeuza huo msemo kwa kumlisha adamu tunda tu [emoji294][emoji817][emoji817][emoji817][emoji294]
[emoji817][emoji294][emoji817][emoji817][emoji294]
[emoji294][emoji294][emoji817][emoji817][emoji294]
[emoji294][emoji294][emoji817][emoji817][emoji294]
[emoji294][emoji294][emoji817][emoji817][emoji294]
[emoji294][emoji294][emoji817][emoji817][emoji294]
[emoji294][emoji294][emoji294][emoji294][emoji294]
[emoji294][emoji817][emoji817][emoji817][emoji294]
[emoji817][emoji817][emoji294][emoji817][emoji817]

Unajua nini kilitokea?
Kasome biblia yako utapata majibu
Post sent using JamiiForums mobile app
nenda pm kwa JamiiForumsMkuu niunge nami
Post sent using JamiiForums mobile app
Kwa wale wanaume wanaopenda kitonga, sikuizi mbinu rahisi za kumchuna mwanke ni kumgegeda vizuri alafu unamwambia akukope hela. Akikupa tu humrudishii na kesho yake unamkopa tena. Hapo utakuwa unamchuna kilaiiini bila bugdha.