the viking
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 1,170
- 1,372
Halafu wanajitia kuchuna, toka lini mwanaume akachuna!!!!??[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Tena hadharani. Daah.
Ndio hao , na mtu wa hivyo akikosa wa kumchuna hawachelewi kukataa jinsia zao na kuhamia za wenzao ili wapate kuchuna vizuri. [emoji87] [emoji87]Halafu wanajitia kuchuna, toka lini mwanaume akachuna!!!!??
Ndiooo. Wananzaga hivo hivo, wakikosa wakuwachuna wadada wa watu wakishtuka wanawachuna wanaume wenzao. Mwisho wa siku wanakimbilia kusema homoni vilikuwa imbalance.Ndio hao , na mtu wa hivyo akikosa wa kumchuna hawachelewi kukataa jinsia zao na kuhamia za wenzao ili wapate kuchuna vizuri. [emoji87] [emoji87]
[emoji122] [emoji122] [emoji122] Kweli tupuuu uliyosema mtoto mzuri mwenzangu.Ndiooo. Wananzaga hivo hivo, wakikosa wakuwachuna wadada wa watu wakishtuka wanawachuna wanaume wenzao. Mwisho wa siku wanakimbilia kusema homoni vilikuwa imbalance.
Homoni my foot
...yamebakia magumegume lol, dada nikiwa tyr itabd unishauri nisije kupata bwana mchunaji lol[emoji3]Hebu tafuta zako wacha kupenda mteremko. Hivi unakuwa na amani kabisa kutumia hela ya kupewa tena na mwanamke lol.
Kweli wanaume mko mbioni kupungua.
Usijali mdogo wangu karibu sana. [emoji112]...yamebakia magumegume lol, dada nikiwa tyr itabd unishauri nisije kupata bwana mchunaji lol[emoji3]
Jamaa anaongeza chanzo cha mapatoWewee! Mwanaume utamtegemeaje mwanamke aisee!? Kupiga show ni jukumu lako lakini kusaka hela pia ni jukumu lako. Huoni aibu kuhongwa na mwanamke?
Sent from my Nokia-toch using JamiiForums mobile app
Hahahahaha unaogopa kuchunwa while wewe haugopi kuchuna,maajabu ya KE ndo haya...yamebakia magumegume lol, dada nikiwa tyr itabd unishauri nisije kupata bwana mchunaji lol[emoji3]
Me sijawahi kumchuna mtt wa mtu[emoji23]Hahahahaha unaogopa kuchunwa while wewe haugopi kuchuna,maajabu ya KE ndo haya
Wahenga walisema muosha huoshwa
[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Sent from Samsung Galaxy S8 Plus using JamiiForums mobile app
Endelea hivyo hivyo kutokupenda kuchuna maana iseje tokea na wewe ukachunwaMe sijawahi kumchuna mtt wa mtu[emoji23]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] dah! Naona pesa imekuwa ngumu hadi show za kibabe sasa zinaanza kuuzwaJamaa anaongeza chanzo cha mapato
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent from Samsung Galaxy S8 Plus using JamiiForums mobile app
hahahaha! Wahenga hawakukosea kusema 'Ugumu wa maisha ni kipimo cha akili'... Awamu hii watu wanachekecha bongo zao kufikiri na kugundua vitegauchumi mbalimbaliMpaka 2020 ME tutakuwa na alternative strategies za kutosha.Ile awamu ya pili tutanza kuzi implement
Sent from Samsung Galaxy S8 Plus using JamiiForums mobile app
Hahahaha ndo hivyo mdau,jamaa kaona fursa na mtaji wake ni kumridhisha mwanamkehahahaha! Wahenga hawakukosea kusema 'Ugumu wa maisha ni kipimo cha akili'... Awamu hii watu wanachekecha bongo zao kufikiri na kugundua vitegauchumi mbalimbali
Sent from my Nokia-toch using JamiiForums mobile app
Yah ukiona ajira zinazingua unajiajiri tu. Mshikaji kaamua kuwa mjasiriashowHahahaha ndo hivyo mdau,jamaa kaona fursa na mtaji wake ni kumridhisha mwanamke
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Sent from Samsung Galaxy S8 Plus using JamiiForums mobile app