the viking
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 1,170
- 1,372
ikifikia ni mihela kwa sababu gani nisimchune?..kila siku niko mbioni kutafuta hela..iweje kuna fursa nikose kuichangamkia?..kwan mwanamke anajihisi vipi anapohongwa?..nakuchuna vizuuuri tu..ila sitoboi siri kwa wenzangu but pesa napokea kama kawaida