Jinsi ya kumchuna mwanamke

Wamekusikia...

Ila ni raha sana pale mwanaume unapokuwa msaada mkubwa kwa mwanamke wako...

Kama vile mwanaume anapojiskia ufahari kumiliki mwanamke mzuri... Nae mwanamke anajisikia ufahari kumilikiwa na mwanaume mwenye msaada mkubwa kwake...


Cc: mahondaw
 
Hata mwanamke anapokuwa msaada kwa mwanae ni Raha zaidi
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kwa wale wanaume wanaopenda kitonga, sikuizi mbinu rahisi za kumchuna mwanke ni kumgegeda vizuri alafu unamwambia akukope hela. Akikupa tu humrudishii na kesho yake unamkopa tena. Hapo utakuwa unamchuna kilaiiini bila bugdha.
duuuuh
 
Dah siku ukimwambia nakuacha anaanza kukudai hela zake zote me ishanitokea hiyo

Post sent using JamiiForums mobile app
kumbe wanaume wamebaki wachache eeeh, eti ilishanitokea duuuh

kweli inabidi tuombe sana
 
Haumtegemei.sasa kama mwanamke ana fanya kazi au biashara na hana ana kwanini usizile,?ila mbaya kutofanya kazi na wewe hapo ndo utaitwa mario.ila kama una mishe mishe zako hapo poa.acha watusaidie.

Post sent using JamiiForums mobile app
duuuh makubwa jaman
 
ikifikia ni mihela kwa sababu gani nisimchune?..kila siku niko mbioni kutafuta hela..iweje kuna fursa nikose kuichangamkia?..kwan mwanamke anajihisi vipi anapohongwa?..nakuchuna vizuuuri tu..ila sitoboi siri kwa wenzangu but pesa napokea kama kawaida
duuuh
 
uzoefu jamani wa hii kazi....maana huo mdomo wa kumkopea hela mwanamke labda nikaazime kwa jilani maana wa kwangu utakuwa mzito kwa kweli

I BLNG 2 JESUS CHRST
 
uzoefu jamani wa hii kazi....maana huo mdomo wa kumkopea hela mwanamke labda nikaazime kwa jilani maana wa kwangu utakuwa mzito kwa kweli

I BLNG 2 JESUS CHRST
Ukijitahidi utaweza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…