Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] uko vizuri mdogo wanguMe sijawahi kumchuna mtt wa mtu[emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji122] [emoji122] [emoji122] uko vizuri mdogo wangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]. Kumbe ushaamka lol.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nishaamka ndio, ukilala sana ujue mwisho utakufa, wahenga wamesema ucngz ndg yake kifo.[emoji1][emoji23] [emoji23] [emoji23]. Kumbe ushaamka lol.
Sio kwa kunitisha huko mdogo wangu.Nishaamka ndio, ukilala sana ujue mwisho utakufa, wahenga wamesema ucngz ndg yake kifo.[emoji1]
Hata mwanamke anapokuwa msaada kwa mwanae ni Raha zaidiWamekusikia...
Ila ni raha sana pale mwanaume unapokuwa msaada mkubwa kwa mwanamke wako...
Kama vile mwanaume anapojiskia ufahari kumiliki mwanamke mzuri... Nae mwanamke anajisikia ufahari kumilikiwa na mwanaume mwenye msaada mkubwa kwake...
Cc: mahondaw
duuuuhKwa wale wanaume wanaopenda kitonga, sikuizi mbinu rahisi za kumchuna mwanke ni kumgegeda vizuri alafu unamwambia akukope hela. Akikupa tu humrudishii na kesho yake unamkopa tena. Hapo utakuwa unamchuna kilaiiini bila bugdha.
kumbe wanaume wamebaki wachache eeeh, eti ilishanitokea duuuhDah siku ukimwambia nakuacha anaanza kukudai hela zake zote me ishanitokea hiyo
Post sent using JamiiForums mobile app
duuuh makubwa jamanHaumtegemei.sasa kama mwanamke ana fanya kazi au biashara na hana ana kwanini usizile,?ila mbaya kutofanya kazi na wewe hapo ndo utaitwa mario.ila kama una mishe mishe zako hapo poa.acha watusaidie.
Post sent using JamiiForums mobile app
duuuhikifikia ni mihela kwa sababu gani nisimchune?..kila siku niko mbioni kutafuta hela..iweje kuna fursa nikose kuichangamkia?..kwan mwanamke anajihisi vipi anapohongwa?..nakuchuna vizuuuri tu..ila sitoboi siri kwa wenzangu but pesa napokea kama kawaida