Jinsi ya kumfahamu girl anayekupenda.

duh, mapenzi ya aina hii yamekuwa adimu sana, ikitokea mtu akakufanywa ubehave hivi, then just go for it.

Ila akikumwaga utakuwa kapirton.
 

Ehee then inakuwa je?
 
Hivi kuna galz na ladies eeh? Manake wengine maswali mwanzo mwisho hakuna aibu,lol!
Physically, they are the same. Characteristically however, they are different. Ladies are mature, well behaved, graceful, and charming. Everything they do requires the utmost concern and attention to detail. They take control of their lives and the lives of others!
Girls are sweet, naive, shy and innocent. The girl succumbs to all these desires, all of these inner conflicts, and takes on the responsibility of those that belong to others. Her satisfaction lies in pleasing everyone else.
 
aaahhhh wanawake bwana shida zote hizi za nini?

Ukimpenda mwanaume unamwambia na ukimtamani pia unamwambia tu.....

Sio kila mtu ana uwezo wa kusoma ishara
umeongea kauli tata,wanawake ndo watuambie sisi wanaume live au sisi ndo tuwaambia,ila kama una huo ujasiri unaweza kufunguka
 
Mkuu ujue wanawake wametofautiana,mwengine anaweza kukupenda mwenyewe,kama hajakupenda hata ufanyaje hubadilishi msimamo wake,na mwingine the way unavyoendelea kumsumbua kila siku anaanza kuonyesha mabadiliko ya kuvutiwa na wewe
 
HUYO NI KUTOKA IRINGA! WALE WA IFM NI TOFAUTI ANAKUCHANA LIVE! i.e NIMEKUZIMIA MTU WANGU, MTU KAMA WEMA SEPETU AKIKUPENDA ATAANGALIA CHINI HUYO?
Mkuu ila inategemea na mtu aliyevutiwa naye,kama ni mtu wa size yake anaweza akafunguka,kama ni mtu aliyemzidi na mwenye heshima flani anaweza kutumia mbinu kama hizo
 
Pochi lako likiwa hivi hakuna mwanamke duniani ambae hatokupenda:


"A successful man is one who makes more money than his wife can spend. A successful woman is one who can find such a man." - Lana Turner

Kama unabisha muulize MadameX.


Hapo hupendi ila hela yako ndo inapendwa,hujawahi kusikia wake za matajiri wakifumaniwa?
 
Hapo hupendi ila hela yako ndo inapendwa,hujawahi kusikia wake za matajiri wakifumaniwa?

Hata wake za wasio matajiri wanafumaniwa. Uzinzi sio kigezo.

Kuna na nani asiyejuwa Tanzania hii kuwa kuna mwanamke kijana kamkimbia mumewe wa ndoa na sasa ni hawara ya mwana siasa mmoja maarufu na mapenzi huko ni motomoto, unafikiri ilikuwa ni u handsome au marupurupu? kwi kwi kwi teh teh teh!
 

Kweli aisee!
 
Hii imemlenga zaidi msichana au mwanamke wa kisasa hasa mjini ila kutoka huko Nchinga na Ng'awa Lindi sidhani kama kuna vitu kama kuhug, kutoka..... Mara maeneo Bweri, Tarime.....
 
Mkwanja ndo kila kitu bana!! lazima akupende bila hata kuonyesha ishara.
 

mh, mimi sinaga hizo, napenda kimoyo moyo tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…