Jinsi ya kumfahamu girl anayekupenda.


Hii ndo imefanya siku hizi wanawake wawe ni watu wa kuchezewa tu na kulalamika kua wanaume wa kuoa hawapo, mi najua kabisa umenipendea pesa na nimeshakuonja yaanini niendelee kua na wewe wakati kuna wenzio wazuri kushinda wewe na wenyewe wanahitaji pesa watoe mambo!!
 

"A successful man is one who makes more money than his wife can spend. A successful woman is one who can find such a man." - Lana Turner
 
Haya mambo bana wala hayana formula kama mnavyotaka kutuaminisha..
 
Haya mambo bana wala hayana formula kama mnavyotaka kutuaminisha..

Hayana formula kweli lakini kuna alama za ujumla sidhani kama 1 hadi 10 hata mmoja asiwe nayo, ahhaaa hapo unaliwa!
 
...duh kwa ishara hizo inawezekana napendwa!Ngoja nikamcheck hapa fasta...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…