Jinsi ya kumfanya mkeo afike mshindo wakati tendo la ndoa

nikiongea na wanandoa, tutazunguruka weee, ila point ni moja tu. kwa mwanamke na kwa mwanaume, utajamiiana na kufikia furaha hiyo kama "utakuwa na furaha na amani na unampenda unayefanya naye" wakati wa tendo.

furaha na amani inabeba mambo mengi. inamaanisha uwepo wa pesa za kutosha hivyo hana mawazo wakati wa tendo, hakuna cheating hivyo hana hasira wakati wa tendo, hana wasiwasi kuambukizwa ugonjwa hivyo yupo huru, hajachoka maana aidha umemsaidia kazi au umemwekea msaidizi wa kazi, na nyote mna afya njema.

mimi kama mwanaume, wakati mwingine naweza kuwa na munkari wa tendo, ikatokea mke akanitibua nikakasirika, hadi tendo naona linahitaji kuahirishwa. na kwa mwanamke ivyo ivyo, naamini mwanamke akiwa na hasira, stress, wasiwasi, amechoka, hana afya inayoweka homoni vizuri, utakuwa unapiga tu hata hampigani.
 
Umeongea vyema Kabisa
 
Ndio maana wapendwa mna chapiwa sana .
 
Kuna huyo mmoja tuligombana week mbili hatuongei akanipigia simu tuongee najua tunaenda kusuluhisha nafika ananiambia oooh nataka faragha sijui nini yaani nilivyotoka pale hakuamini[emoji18][emoji18]
 
Hili sio somo la siku moja,inahitaji kama miezi 6 ili likae kwenye akili,maana kuna mambo hapo kama yalisha vurugika kuyaweka sawa kunahitaji muda...
 
Hili sio somo la siku moja,inahitaji kama miezi 6 ili likae kwenye akili,maana kuna mambo hapo kama yalisha vurugika kuyaweka sawa kunahitaji muda...

Somo hili kama mtu hata pesa ya kula inamsumbua ni Bora atafute kwanza namna ya kujimudu kiuchumi
 
Kuna huyo mmoja tuligombana week mbili hatuongei akanipigia simu tuongee najua tunaenda kusuluhisha nafika ananiambia oooh nataka faragha sijui nini yaani nilivyotoka pale hakuamini[emoji18][emoji18]
Faragha ni sehemu ya kuomba msamaha kumaanisha yameisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…