Jinsi ya kumfanya mkeo afike mshindo wakati tendo la ndoa

Jinsi ya kumfanya mkeo afike mshindo wakati tendo la ndoa

Ngoja watu waje na criticism ili tupate kilicho bora zaidi mkuu. Kila mtu akikubaliana we won't get the best. Naamini katika kumfurahisha partner wangu lakini nae awe tayari mentally ili wote tufurahi.

Criticism ni muhimu Mkûu.

Ila Kwa Bahati mbaya weñye criticisms zenye hoja ni wachache
 
Binadamu tunatofautiana sana, wengine bila hizo ndevu mvuto unapotea kabisa

Mkuu hujanipata Vizuri
Sijazungumzia ndevu.
Nazungumzia nywele za sehemu za Siri(Vuga)

Ndefu kufuga siô uchafu ilimradi ziwe katika Hali nzuri ya usafi
 
Back
Top Bottom