Jinsi ya kumfanya mkeo afike mshindo wakati tendo la ndoa

Jinsi ya kumfanya mkeo afike mshindo wakati tendo la ndoa

Ngoja watu waje na criticism ili tupate kilicho bora zaidi mkuu. Kila mtu akikubaliana we won't get the best. Naamini katika kumfurahisha partner wangu lakini nae awe tayari mentally ili wote tufurahi.
Critism gani Mkuu ?
Mtu anapinga tu bila kuja na hoja yoyote au ABCD katika kupinga kwake jambo?😅😅😅
 
4. Usafi wa Uke na uume.
Hakikisheni kîla mmoja wenu sehemu zenu za Siri ni Safi. Wôte mmenyoa Vizuri ili nywele zisichubue Uke.
Elewa nywele nyingi sehemu za Siri huchubua Uke na Wakati mwingine Uume. Hii inafanya Mwanamke kûsikia maumivu Wakati unamfanya.
Binadamu tunatofautiana sana, wengine bila hizo ndevu mvuto unapotea kabisa
 
Back
Top Bottom