Jinsi ya kumfanya mkeo afike mshindo wakati tendo la ndoa

Heee!!
Wanawake wenyewe hawa wa leo ndugu yangu?! Hawa wanowaza haki sawa, usawa, "kujitambua" n.k... dhidi ya wanaume kila wakati?

Waondoe kwanza mizigo waliyonayo, akilini, mioyoni na mwilini.

Akili zao ziwaze kuwa wao ni wanawake.
Mioyo yao ikubali kumpenda waliyeamua kuolewa nae.
Miili yao waiweke tayari kwa ajili waume waliowaoa.

Wake wakitimiza haya, watafurahia tendo vizuri tu hata kama wameolewa na muokota makopo ama mzoa taka ambaye kauvundo hakaishi mwilini mwake.

Jukumu la kujiandaa kiakili, kiafya na kihisia kwa ajili ya kufanya mapenzi ni la kwao wenyewe.
 
MWANAMKE kama humfikishi Kileleni au hafikishwi Kileleni lazima adai Haki Sawa yàani 50*50
 
Nafikiri hujanielewa.

Mwanamke akitarajia kufika kileleni kwa juhudi za mwanaume pekee ataishia kuhangaika sana kwa wanaume kukitafuta hicho kilele!

Ndiyo maana wanawake wake za watu siku hizi wanakamuliwa vibaya sana! Wanatafuta vilele huku wao wenyewe wakiwa hawako tayari kimwili, kiakili na kihisia.
 
Niwaite ili iwe nini.. wakati wewe ndo unatwambia kuna sheria toa evidence/ nikuulize hicho kifungo otherwise kama hukijui unadanganya umma

Kwa nini nikudanganye?
😀😀 so hawa wanawake wanaodai 50*50 kwenye elimu, siasa, umiliki wa ardhi, fursa za kiuchumi hawafikishwi kileleni? Au?

Unauliza Majibu?😀

Lakini kûna Haki za watu wôte kama hizô ulizozitaja zote ni Haki ya Watu wôte
Ia hiyo 50*50 NI zile Haki za Mwanaume Wanawake wanataka ziwe Sawa mfano Haki ya Mwanaume kuwa kichwa cha familia na Maamuzi.
Lakini Elimu, Afya, Kazi n.k. hizô NI Haki za watu wôte kama ilivyo Haki ya kuishi
 
Nafikiri hujanielewa.

Mwanamke akitarajia kufika kileleni kwa juhudi za mwanaume pekee ataishia kuhangaika sana kwa wanaume kukitafuta hicho kilele!

Ndiyo maana wanawake wake za watu siku hizi wanakamuliwa vibaya sana! Wanatafuta vilele huku wao wenyewe wakiwa hawako tayari kimwili, kiakili na kihisia.

Ukisoma nilichoandika utaelewa kuwa nimeandika nini.
Mwanamke Hawezi kufika MSHINDO Bila Mwanaume Kutengeneza Mazîngira.
 
Ingekuwa ulichoandika hapo ni dawa ya mwanamke kweli, basi asilimia 99 wangekuwa wameridhika.
Huwajui wanawake wewe, haswa wa toleo hili la sasa!

Wanawake ni version ya Mwanaume
Kwèñye Mwili wako kûna uanamke ndàni yako kusema huwajui Wanawake NI kusema hujijui wewe mwenyewe
 
Back
Top Bottom