youngkato
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 3,811
- 3,888
Unakutana na mteja, mnamaliza maongezi vizuri kabisa, lakini mwisho wa siku anakwambia:
✍️Nitarudi baadaye
✍️Naitaji kufikiria kwanza
✍️Ngoja niongee na mwenza wangu
Yaani, anapotea hewani bila kulipa 😤
JINSI YA KUMFANYA MTEJA ALIPIE HUDUMA YAKO HARAKA SANA (BILA KUSUBIRI!)
Kwa Nini Wateja Hawalipi Haraka?
Kabla hujajua jinsi ya kumfanya alipe haraka, lazima ujue kwa nini hawafanyi hivyo:
Hana uhakika na huduma yako
Hakuamini / Hakujui
Hujampa sababu ya kulipia haraka
Hajawahi kukuona
Unamlazimisha anunue
Hatua ya 2: Toa Value Kabla Hata Hawajalipia
Badala ya kumwambia tu bei, mpe kidogo melekezo ya kile unatoa.
Mpe free tips
Mpigie simu
Mhoji maswali kwanza
Jifanye unamjali sana
Unapompa elimu, automatically anaona wewe ni mtaalamu, na yuko tayari kukulipa kuendelea.
No 3: Tengeneza offer ya kumuongopesha
Tengeneza package yenye vitu vingi hadi mteja ahisi anaibiwa kwa kutolipa!
Toa vitu kama:
✍️Bonus
✍️Discount (kwa muda mchache)
✍️Guarantee
✍️Huduma ya ziada bila malipo (Mfano free call)
Ataona ni halali kutoa pesa yake
Watu huwa hawafanyi maamuzi haraka bila kulazimishwa.
Tumia hizi tricks:
Deadline: “Ofa hii ni hadi kesho saa 12 jioni.”
Limited time: “Ninapokea wateja 2 tu wiki hii.”
Price increase: “Baada ya wiki hii bei inapanda.”
Inamfanya mteja akimbilie kulipia
Wateja hawalipi haraka kwa bahati mbaya
Wanalipa kwa sababu:
✅ Wanaamini unajua unachofanya
✅ Huduma yako inavutia sana
✅ Kuna haraka, bonus, na uthibitisho
Malizia na Strong CTA
Mfano: Kusaidiwa kupata matokeo kama haya? Bonyeza hapa 👉 wa.me/+255693880325
Njia 5 Za Kupata Mteja Wako:
1. Tangaza Kazi Zako Kila Siku (Consistency is King)
2. Social Proof ni silaha kubwa
3. Toa Free Sample au Ushauri
4. Tafuta wateja, Usisubiri wakufate