Jinsi ya kumnunulia mpenzi wako zawadi

me ntamtolea posa ya treni na reli ntaajiri wachina wajenge kuanzia nyumbani kwao paka 2napoish
 
bora umenisaidia na me coz mchumba wangu birthday yake inakaribia hapa cjui namnunulia nini , kwanza nimefulia hapa
Huwezi amini kitu kidogo hata kama kitambaa cha mkononi atafurahi na kuona umemkumbuka
 
Zawadi za kazi gani?!Kumpenda/wapenda hakutoshi?!

hahaha lizy vionjo kwenye mapenzi ni muhimu kuna watu wajuwa kupenda na kubembeleza we acha hebu burudika na hii (sikia mtu anavyoahidiwa zawadi tele )

 
Last edited by a moderator:
toa zawadi kiasi.ni muhimu sana maana ni vichocheo. Kwa lugha ya kiengeleza ni upholding
.pia nathani ukizuba eneo hilo utaporwa biblia inasema apandae haba atavuna haba apandaye kwa wingi................
 
Lizzy na charge achaneni ubishi hadi tren hayo ni mapenz ama adhabu.
 

hala hala usinunue penzi.............................lol
 
Hapo chini umesema vyema kwamba ni KUBADILISHANA - lakini je waonaje - kama katika mahusiano mmoja tu ndio anatoa zawadi - na mwingine kazi yake kupokea - lakini yeye hatoi kitu???


Zawadi ni muhimu
sana kwenye mahusiano, mie napenda kubadilishanazawadi na mpenzi wangu
 
zawadi ni kitu kimoja wapo cha kuimarisha penzi, zawadi ni zawadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…