Jinsi ya kumnunulia mpenzi wako zawadi

Jinsi ya kumnunulia mpenzi wako zawadi

me ntamtolea posa ya treni na reli ntaajiri wachina wajenge kuanzia nyumbani kwao paka 2napoish
 
bora umenisaidia na me coz mchumba wangu birthday yake inakaribia hapa cjui namnunulia nini , kwanza nimefulia hapa
Huwezi amini kitu kidogo hata kama kitambaa cha mkononi atafurahi na kuona umemkumbuka
 
Zawadi za kazi gani?!Kumpenda/wapenda hakutoshi?!

hahaha lizy vionjo kwenye mapenzi ni muhimu kuna watu wajuwa kupenda na kubembeleza we acha hebu burudika na hii (sikia mtu anavyoahidiwa zawadi tele )


 
Last edited by a moderator:
toa zawadi kiasi.ni muhimu sana maana ni vichocheo. Kwa lugha ya kiengeleza ni upholding
.pia nathani ukizuba eneo hilo utaporwa biblia inasema apandae haba atavuna haba apandaye kwa wingi................
 
Lizzy na charge achaneni ubishi hadi tren hayo ni mapenz ama adhabu.
 
Zawadi ni kitu ambacho kila mtu awe mzee,kijana au mtoto wote wanapenda,na inakua namaana zaidi kama zawadi hiyo umeletewa na mtu unaempenda. Zawadi si lazima kiwe kitu cha gharama sana ila maana yake inabaki pale pale hata kama ni pipi ya TSH 100. Zawadi inanafasi kubwa katika kuimarisha mahusiano kwa wapendanao na kuweka kumbukumbu nzuri katika maisha. Sidhani kama ni rahisi kusahau zawadi uliyonunuliwa na mpenzi wako.Ipo wazi kwamba zawadi za surprise huwa zinakuwa na msisimko zaidi kwa mpenzi wako.Ili kufanikisha zoezi hili yapo mambo ya kuzingatia ili usije uka miss target.1.LAZIMA UMFAHAMU MTU UNAEMNUNULIA NI WANAMNA GANI Kama mtu wako ni free spirity, romantic or sporty. Labda free spirit angepennda flower jewelry or perfume, au kama ni romantic angependa lingerie set ,na sporty labda angependa vya ki sporty zaidi.2.CHUNGUZA HOBBY ZAKE Kama ni mschana je anapenda mambo ya ku bake?kama ni hivyo mletee surprise ya a new baking set with bowls, spoons, or a recipe book. Au kama ni mwanaume wako anapenda arsenal, man u etc mnunulie basi vifaa vya nembo hiyo. Au kama anapenda jeans za aina flani hivi, viatu vya aina flani hivi etc Ukijua hobby ya mpenzi wako utakuwa in a position to buy things which are in their hit shopping list.3.UWE UNA RELATE MAONGEZI YAKEUtajua tu mtu anapenda nini kwa njia ya maongezi yake hapo unaweza kumtafutia zawadi nzuri ambayo atafurahia.Kama ni mdada kila mkipita mahala mkamwona teddy bear na kutaka kumshika basi keep inmind hiyo ndio hobby yake.Ukijua haya itakusaidia kutafuta kitu ambacho hakika kitamfurahisha mpenzi wako.Sio hujawahi kumwona hata siku moja ana jeans au kuongelea jeans we ukaleta jeans.Au hujawahi hata siku 1 kuona amevaa kitenge au kuongelea kitenge we ukaleta kitenge.Nimifano tu
Nawatakia kila laheri wenye wa kuwanunulia zawadi.

Nimimi wenu charger makazi yangu ukutani,jioni lazima uje tu!

hala hala usinunue penzi.............................lol
 
Hapo chini umesema vyema kwamba ni KUBADILISHANA - lakini je waonaje - kama katika mahusiano mmoja tu ndio anatoa zawadi - na mwingine kazi yake kupokea - lakini yeye hatoi kitu???


Zawadi ni muhimu
sana kwenye mahusiano, mie napenda kubadilishanazawadi na mpenzi wangu
 
zawadi ni kitu kimoja wapo cha kuimarisha penzi, zawadi ni zawadi
 
Back
Top Bottom