Pole sana kwa hayo matatizo ya kaka yako nijuavyo mimi unaweza kumpeleka mteja hospitali akatibiwa naWasalaam,nimepokea ujumbe huu.Naombeni taarifa kwa anayejua. Muathirika yuko Mbeya.Kiroho safi yani.
"Shalom brother! Kuna kaka yangu ameathirika sana na madawa ya kulevya mpaka amekuwa kichaa and I was thinking je iko hospitali inayoweza saidia kuondoa sumu hiyo? Please if you know anything concerning that tafadhali nijulishe."
Pole sana kwa hayo matatizo ya kaka yako nijuavyo mimi unaweza kumpeleka mteja hospitali akatibiwa na
kupona na anaweza kurudia tena. Jaribu kumtafutia mtu mzima awe anampa ushauri wa kuacha huo unga kabla ya kupata
wewe gharama kisha upate hasara. Na akisha kuwa teyari ndio unaweza kumpeleka Hospitali kumuachisha huo unga.
huku Ughaibuni tukitaka kumuachisha mtu kuvuta Unga kwanza tunampeleka jela mwaka mmoja au miaka 2 kisha huko huko jela
anatibiwa kuachishwa, kumuachisha mteja ni kazi ngumu tena yataka uvumilivu mkubwa sana.
Itabidi umpeleke Hospitali kubwa za hapo nchini Unga umesha mtia u kichaa? amezidisha huyo Dozi Mungu Amsaidie nijuavyo mimi Unga kuacha kazi kubwa sana uteja wa unga ni mbaya kuliko uteja wa pombe pole sana.MziziMkavu mtu kashakuwa kichaa tena utamshauri atakuelewa? Na jela kwa huku bongo ndio kumzidisha uteja na kumuongezea other vices kama ushoga.
Hatuna ile sjui wanaita rehabs?