The Dude
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 1,029
- 459
Wasalaam,nimepokea ujumbe huu.Naombeni taarifa kwa anayejua. Muathirika yuko Mbeya.Kiroho safi yani.
"Shalom brother! Kuna kaka yangu ameathirika sana na madawa ya kulevya mpaka amekuwa kichaa and I was thinking je iko hospitali inayoweza saidia kuondoa sumu hiyo? Please if you know anything concerning that tafadhali nijulishe."