zegamba180
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 820
- 541
dume ana kichwa kikubwa,
dume anashingo pana na yenye kumeremeta sana,
dume ana kubwa mkubwa
dume anashingo pana na yenye kumeremeta sana,
dume ana kubwa mkubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanini tabu si umnyonyoe manyoya umwangalie kama ni jike au dume?Kama nikigundua wote ni madume nikimleta jike mmoja atapandwa?
Yah,nimeamini maneno yako mkuu njiwa sio kiumbe wa kawaidaNjiwa ni ndege wa tofauti kidogo,hata kama utaleta dume leo usitegemee kesho tu kuona wanapandana,kwanza wataanza mahusiano ndipo wapandane.
Kumbuka nilikwambia njiwa huwa wanaishi wawiliwawili.Hivyo lazima kwanza kuwe na maafikiano yakuishi pamoja ndipo hayo yakupandana yatafuta.Njiwa sio kama kuku wao wapo tofauti sana.Kwa kiasi kikubwa njiwa wanashabiliana sana na kanga
Is it possible?Yanini tabu si umnyonyoe manyoya umwangalie kama ni jike au dume?
Njia hii rahisi kidogo ngoja niijaribuNjia tuliyo tumia, una mshika njia vizuri kiganjana then unakamata miguuu usawa wa mapaja yake unakuwa kama unaipeleka ndani,
.
Jike huwa hafanyi kitu, but dume shingo yake huwa kama inajaaa na kutoa sauti flani hivi
Ndio maana anatumika sana kwenye mambo ya kiroho/shirikina..Yah,nimeamini maneno yako mkuu njiwa sio kiumbe wa kawaida
Nami nimefuga njiwa sana na cha kuongezea zaidi wakati unapowashika midomo na kuwaning'iniza juu huyo anayepiga mabawa ni Dume na jike atatulia tuli katika kuwaning'iniza juu kwa sekunde mbili mpaka tatu utawajua njiwa wako kama ni Dume au ni Jike.Pole sana kwa changamoto hiyo, fanya hivi, mchukue njiwa mning'nize juu kwa kumshika mdomoni , mmoja ukimshika hivyo anapigapiga sana mabawa, mwingie anakua mtulivu, enzi zetu za ufugaji tulifanya hivyo!
Kwanza tambua kwamba wote wakiwa ni madume ukimleta jike mmoja utakuwa umeleta vita vikubwa watapambana hao madume watatu mpaka apatikane mshindi mmoja kati yao ndiyo atammiliki yule jike uliyemleta ila tambua wale wawili watahama badala ya kuwa na njiwa wanne utabaki na wawili, bora uwe na njiwa watatu majike na ukatafuta Dume mmoja wote hao hatawapanda na kuwazalisha ila kanunue njiwa peapea yaani jike na dume na utawatambua kwa kuwaning'iniza juu kwa kuwashika midomo kwa sekunde tatu yule atakayepiga mabawa na kunguruma au kutetemeka juwa huyo ni Dume na jike atatulia tuli ndani ya sekunde tatu hizo.Kama nikigundua wote ni madume nikimleta jike mmoja atapandwa?