Jinsi ya kumtambua mwanamke bikra kwa kumuangalia tu

Labda ndio ilikuwa mbinu ya zamani, sasa hivi mambo yamebadilika , maisha ya maasai, mwanaume anasuka mwanamke ana nyoa upara
 
Sasa utasababisha machenza yapande bei,maana naona kabisa kuna watu wataanza kujipaka ili wanukie machenza...
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo bikira unazungumzia za watoto wa chekechea? Naunazitakia nini? Wewe, takuwa uko kwenye kundi la wanaoua watoto na kunyofoa nyeti. Siyo bure!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…