Jinsi ya kumtambua mwanamke bikra kwa kumuangalia tu

Labda ndio ilikuwa mbinu ya zamani, sasa hivi mambo yamebadilika , maisha ya maasai, mwanaume anasuka mwanamke ana nyoa upara
 
Sasa utasababisha machenza yapande bei,maana naona kabisa kuna watu wataanza kujipaka ili wanukie machenza...
Ni rahisi sana kumjua mwanamke ambaye ni bikra kwa kumuangalia tu usoni.

Hii ni elimu tosha sana kwako wewe mdau. Hivi ndivyo viashiria vya mwanamke bikra:

1. Mwanamke bikra huwa anakimbonyeo kwa mbali katika paji lake la uso kati ya macho yake mawili.

2. Mwanamke bikra huwa anatoa harufu kama ya machenza hata ajipake manukato ya haina gani harufu hako huwa akapotei.

3. Mwanamke bikra huwa anavinyama fulani hivi katika ufuzi wake.

3. Mwanamke bikra huwa anavimstari viwili chini ya matundu ya pua zake.

4. Mwanamke bikra huwa na rangi kama nyeupe hivi mwisho wa nywele zake za kichwani.

5. Na mwisho mwanamke bikra hutokwa na mistari mitatu mpaka minne kwenye shingo yake kwa nyuma.

Huu ni ukweli usio na mashaka na ukitaka kupinga pinga kwa hoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo bikira unazungumzia za watoto wa chekechea? Naunazitakia nini? Wewe, takuwa uko kwenye kundi la wanaoua watoto na kunyofoa nyeti. Siyo bure!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom