Jinsi ya kumtambua mwanamke bikra kwa kumuangalia tu

Ni rahisi sana kumjua mwanamke ambaye ni bikra kwa kumuangalia tu usoni.

Hii ni elimu tosha sana kwako wewe mdau. Hivi ndivyo viashiria vya mwanamke bikra:

1. Mwanamke bikra huwa anakimbonyeo kwa mbali katika paji lake la uso kati ya macho yake mawili.

2. Mwanamke bikra huwa anatoa harufu kama ya machenza hata ajipake manukato ya haina gani harufu hako huwa akapotei.

3. Mwanamke bikra huwa anavinyama fulani hivi katika ufuzi wake.

3. Mwanamke bikra huwa anavimstari viwili chini ya matundu ya pua zake.

4. Mwanamke bikra huwa na rangi kama nyeupe hivi mwisho wa nywele zake za kichwani.

5. Na mwisho mwanamke bikra hutokwa na mistari mitatu mpaka minne kwenye shingo yake kwa nyuma.

Huu ni ukweli usio na mashaka na ukitaka kupinga pinga kwa hoja.

Kwa hiyo cutelove ulivyomwangalia tu ukajua ni bikra hadi ukafanya maamuzi ya kumtumia nauli ya kuja mjini??
 
Kuanzia sasa, kila binti ntakayekuwa nakutana naye naanza kumnusa kama ananukia harufu ta chenza. Kumbe kutochakata bikra ni kujitakia tu.
 
Mwanamke Bikra anaona kwa macho mawili tu
 
Ulie mwachia 7800 ulivomuona ulimtambua kam bikra
 
Kwaio bikra ikitumika tial siyo bikra tena, so hivyo vitu ulivyotaja ambavyo vipo kwenye mwli wake vitaptea........

Kujua kua mwanamke n bikra au lah n kufanya nae mapenz tuu.

USITUDANGANYE.
 
Ni rahisi sana kumjua mwanamke ambaye ni bikra kwa kumuangalia tu usoni.

Hii ni elimu tosha sana kwako wewe mdau. Hivi ndivyo viashiria vya mwanamke bikra:

1. Mwanamke bikra huwa anakimbonyeo kwa mbali katika paji lake la uso kati ya macho yake mawili.

2. Mwanamke bikra huwa anatoa harufu kama ya machenza hata ajipake manukato ya haina gani harufu hako huwa akapotei.

3. Mwanamke bikra huwa anavinyama fulani hivi katika ufuzi wake.

3. Mwanamke bikra huwa anavimstari viwili chini ya matundu ya pua zake.

4. Mwanamke bikra huwa na rangi kama nyeupe hivi mwisho wa nywele zake za kichwani.

5. Na mwisho mwanamke bikra hutokwa na mistari mitatu mpaka minne kwenye shingo yake kwa nyuma.

Huu ni ukweli usio na mashaka na ukitaka kupinga pinga kwa hoja.
Hizi sifa unaweza ukakuta hata Mama yako anazo...je na yeye ni b.....?
 
Back
Top Bottom