Jinsi ya kumtambua mwanaume ambaye si muoaji

Nakazia kama hauna chura possibility ya kuolewa ni ndogo mno

Kama umezoea kuchuna yani uko kimaslahi zaidi hapo ishu ya ndoa utakua unaisikia humu MMU

Note: Ni rahisi sana kulikuta treni carwash kuliko mwanamke mwenye tabia za kichonganishi kuolewa

Sent using unknown device
 
Izo sababu ulizotaja ni ile ile moja umerudia rudia tu
 
Mwanamke tapeli lazima atatapeliwa tu!!
Mm nikiona mdada anatabia za kitapeli tapeli kwenye mapz,,naingia kwa gia za kumtapeli
Alaf wengine sio watamu ukiwa unamgegeda sasa mambo ya kusema kusubiri ndoa ndo tugegedane dah!!
Alaf most gals ni pretenders
Anakwambia no sex before marriage,,kumbe tapeli mwanzako anagegedwa ww anakuweka benchi eti mnasubiri ndoa
Unataka mwenzio ichache ww ichemke???
Inauma sana
 
Wanaume wanaokuja kwa gear ya ndoa ni matapeli hivi mtaoanaje hamjajuana vzuri tabia, hafu bora Ku enjoy mahusiano mkiridhia ndo muoane aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante. Wanafikiri ndoa ni kamari.

Jengeni urafiki kwanza. Mjuane vizuri. Msomane. Muone kama mnaendana. Na kama kweli mkiridhiana ndo michakato ya kuoana ianze. Ndoa siyo lelemama ati !!!

Fanya mpango uhakikishe mtazamo wako huu unawafikia mabinti wengi kwa kadri iwezekanavyo. Utawasaidia sana [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…