Jinsi ya kumtambua mwanaume ambaye si muoaji

Ngoja ninyamaze ukizingatia wife yumo humu na jana kaijua ID yangu
 
Wanaume wenye hizo tabia inabidi wabadilike siyo vizuri kabisa.
 
Katika jambo ambalo wanawake hupitia wakati mgumu ni katika kipindi cha kutaka aolewe,maana hana uhakika ni yupi muoaji na yupi muonjaji, poleni sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaroga sana sisi. Hata km hujui uchawi utaujua tu. Ila kuna cidume havilali vinachungwa na mamazao usiku na mchana.
Halfu wana utambuzi mkali sana. Si kawaida Km una dawa ataikamata mara moja.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hatar wanaume
 
Tunaroga sana sisi. Hata km hujui uchawi utaujua tu. Ila kuna cidume havilali vinachungwa na mamazao usiku na mchana.
Halfu wana utambuzi mkali sana. Si kawaida Km una dawa ataikamata mara moja.
Duh!!!
 
Hahaaa experience is the best teacher, na usimwamini mtu aisee
amini ili uishi vizuri. Ukiwa magutu hutafurahia maisha. Utapataje uzoefu? Danganywa ila ufanye kweli utakuwa km digidgi mpaka lini?

Akiwa mjanja sana. mroge tu ili ufanikishe marengo ya ki familia atakushukuru.

Wengine walisharogwa kitambo na waliopita yeye anaangalia mabaya tuuu ktk mahusiano ivo namsaidia atsnishukuru
 
Namwamini Mungu baba muumba mbingu na nchi, binadamu haaminiki maana mioyo ni kichaka kizito
 
Namwamini Mungu baba muumba mbingu na nchi, binadamu haaminiki maana mioyo ni kichaka kizito
Umenena vyema. Mungu wa kweli anaona Mpaka. Vichakani.

Na alisema mke mwema siyo Mme mwema ! hutoka kwake.
na yeye ni mwaminifu. Si kuna mungu wengi tu?

Km asipoangalia kichakani huyo muache njoo niku nikunong'oneze alipo usiogope mie ni mtu.
 
Uninong'oneze nini tena jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…