Usijali kiongozUngekuwa na picha ya vitendo hivyo vya ng'ombe ingependeza zaidi
Swali zuri sana kama mnyama wako anakuwa anaingia kimya kimya kwenye joto njia Bora ambayo tunatumia tunamchoma hormones ambayo inamfanya aingie joto Tena ili kuweza kufanya zoezi la upandishaji .How about silent heat?
Ndiyo mifugo wako anaweza kuonyesha dalili kadhaa za kwamba yupo kwenye joto.kwa hiyo unahitajika kuwa makini pindi unapomuangalia mifugo wakoNo 2, 5, 7 na 8 ni uhakika kabisa, Mie ni mfugaji.
Karibu sanaAsante sana
Mifugo wako/mifugo yako/mfugo wako?