Habari za muda huu natumaini wote ni wazima,Leo nitaenda kutoa elimu ya kujua Kama nguruwe wako yupo kwenye joto.
👉Note. Nguruwe ambaye yupo kwenye joto hukaa ndani ya masaa 72 (siku tatu)
âś…Njia za kumtambua nguruwe aliye joto:
1. Test ya "standing reflex":
- Mweke mikono yako juu ya mgongo wake na msukume kidogo.
- Kama anabaki amesimama bila kusogea, yupo kwenye joto (standing heat).
2. Vulva kuvimba na kuwa na ute wa mng’ao (clear mucus)
3. Tabia ya msisimko:
- Anakuwa mchangamfu, analia sana, anakimbia kimbia
4. Anavutwa sana na harufu ya dume
- Akimuona au kumsikia dume, huwa anapiga kelele au kusimama kimya
5. Kupinda mgongo (lordosis reflex)
- Ukimgusa mgongoni au upande wa kiuno, anapinda mgongo kuashiria yupo tayari
6. Kuongeza kukojoa
- Anakojoa mara kwa mara
7.kupandana(mounting)
Karibu sana kwenye huduma zetu bora za mifugo.
Kwa mawasiliano zaidi
0674740836
0792263640