Jinsi ya kumtambuilisha mtoto wa nje kwa mkeo

Jinsi ya kumtambuilisha mtoto wa nje kwa mkeo

nenda kwa mchungaji au sheh wako kwa mawaidha zaidi.
 
May be? Kama yupo na hatumjuhi ni sawa na ha exist tu.

Ila si tulikuwa wapekuzi kweli (not our mum) hivyo tulikuwa tunavijua vishtobe vyake karibu vyote ...sijuhi wengine bankers, ma air hostes (ATC those days) na hakuna alokuwa na mtoto.

Kuna wanaume wako makini.Lol. Wanachiti responsibly...mfano baba yetu mpaka natoka home hajawahi kulala nje...na anajisifu kwa hilo...anakwambia mwanaume ulo kamili huwezi kulala nje ya nyumba yako au kula kwa watu.

Hivyo hao vicheche wake uhusiano ulikuwa unaishia bar na guest tu.

nyumba kubwa, huwezi jua kama hakuna mtoto wa nje.

Ila inawezekana aliwapiga marfuku kukanyaga hapo kwenu, kuna watu wanafamiana misibani.

Kuna dada mmoja mkubwa, alikutana na mama mmoja mtoto wa baba yao. Yule dada wa nje akajitambulisha. Yule dada akamjibu, tusijuane.

Mie nikamshangaa, unakataa faida? Mtu mzima, anataka tu mfahamiane sababu mnashare baba unamfukuza? Wala hakutegemei??

Mtu akitoka hapo kwa Mwingira, anaomba upendo wa baba, anyway nisiseme sana but wizi mtupu.
 
Kongosho tunayoongelea humu tunaongelea kuhusu wanawake na wanaume wa kisasa...tukisema tu generalize kila tunachochangia mpaka vijijini kila kitu haki apply. Hivyo tunaongelea kuhusu mimi wewe na yeyote mwenye access na utandawazi kwa kiwango kikubwa kwa maana anayejua kuwa tuko 21 century

ni asilimia ngapi ya Tz ni mjini ukilinganisha na vijijini?
 
Bottom line ni kuwa alikuwa anachit.
Hapo tu, basi ushajibu mantiki yangu.

Kama mtu anachit tegemea chochote.
(hapa simwongelei specific mzee wako, naongea general)

kwa wnaochit, tegemea chochote, kuona mtu analeta mtoto, anyway si sawa kama kaoa, its wrong.

Lakini wengine hawaleti watoto kwa gharama za kuwakataa, kutoa mimba, au hata milango haramu.

Sasa hapo, kila mtu huwa anapima kilicho rahisi kwake kubeba.

Na kweli, wapo wanamme wasiochit kabisa, nao naomba kutambua uwepo wao japo ni wachache.

Kwa hiyo hii ishu haina fomula.

May be? Kama yupo na hatumjuhi ni sawa na ha exist tu.

Ila si tulikuwa wapekuzi kweli (not our mum) hivyo tulikuwa tunavijua vishtobe vyake karibu vyote ...sijuhi wengine bankers, ma air hostes (ATC those days) na hakuna alokuwa na mtoto.

Kuna wanaume wako makini.Lol. Wanachiti responsibly...mfano baba yetu mpaka natoka home hajawahi kulala nje...na anajisifu kwa hilo...anakwambia mwanaume ulo kamili huwezi kulala nje ya nyumba yako au kula kwa watu.

Hivyo hao vicheche wake uhusiano ulikuwa unaishia bar na guest tu.
 
Hakuna kheri juu ya shari. Mimi nilimleta nyumbani na kumwambia huyu mtoto wangu. Akanuna wiki nzima mimi sikujali, kisha akasema mume wangu umenikosea sana. Nikajibu kwa kifupi pole kisha nikauchuna. Hadi leo mtoto yupo. A cub cannot lead the Lion.
 
hivi, unajua kuna baadhi ya watu unawaona hapa mtandaoni lakini wamekulia kwenye koroboi??

Ni shule tu zimewawezesha kujua jf?

Unategemea mtu wa aina hii aliyekulia mazingira ya kufikirika niliyoyasema, leo atamwacha mmewe kisa kaleta watoto watatu wa nje??

Kuna sehemu mtu anakuwa anaambiwa 'wivu ni kwa wanawake wajinga, mwanamme si wa mwanamke mmoja'

leo atafuta hayo tote kirahisi eti kisa shule na kujitambua?
Mmnh, anyway hakuna jibu sahihi, yote yawezekana.

Kongosho tunayoongelea humu tunaongelea kuhusu wanawake na wanaume wa kisasa...tukisema tu generalize kila tunachochangia mpaka vijijini kila kitu haki apply. Hivyo tunaongelea kuhusu mimi wewe na yeyote mwenye access na utandawazi kwa kiwango kikubwa kwa maana anayejua kuwa tuko 21 century
 
You are a MAN.

Kwangu mie, nakutangaza kama JF Man of the Year 2012.

Simamia unachoamini, two wrong does not make it right.

Hakuna kheri juu ya shari. Mimi nilimleta nyumbani na kumwambia huyu mtoto wangu. Akanuna wiki nzima mimi sikujali, kisha akasema mume wangu umenikosea sana. Nikajibu kwa kifupi pole kisha nikauchuna. Hadi leo mtoto yupo. A cub cannot lead the Lion.
 
Mwisho wa siku kila mtu ana maamuzi na maisha yake...nyumba yangu si ya intruders...sikulelewa katika hayo mazingira hivyo kama nitasamehe msamaha wangu hauta include kulea mtoto wa nje...atalelewa na mama yake for his/her own sake nadhani nimeeleweka...siwezi mpenda mtoto wa nje kama mwanagu hiyo ni black and white to me.
 
ha ha ha

pole, naona umeogopa mno.

Ndio maana toka mwanzo nikasema, haina fomula

inategemea na tamaduni zenu tu.

Nimetamani nikuone sura wakati unaandika hii post, nahisi ningecheka sana.

Mwisho wa siku kila mtu ana maamuzi na maisha yake...nyumba yangu si ya intruders...sikulelewa katika hayo mazingira hivyo kama nitasamehe msamaha wangu hauta include kulea mtoto wa nje...atalelewa na mama yake for his/her own sake nadhani nimeeleweka...siwezi mpenda mtoto wa nje kama mwanagu hiyo ni black and white to me.
 
Kuna majambo yanayowasibu wanaume wengi katika pitapita zao na kung'angania nyumba ndogo wanajikuta wanapata watoto nje ya ndoa ni njia ipi ya kistaarabu ya kumtambulisha mtoto wako wa nje kwa mkeo unayempenda????????

Inaonyesha ni jinsi gani unafanya ngono zembe hadi unapata na watoto!, Namhurumia sana mkeo hasa kwa zama hizi za ukimwi. you ought to value your thing man! sio kila mahala unachovya tuuuuuu! ati sasa unataka ushauri... kafanye toba!
 
Njia ya kistaharabu? Kuna ustaharabu tena hapo wakati ushaharibu? Njia yeyote utakayotumia lazima kinuke tu; whether utapika pilau na sherehe ya kumuingiza mtoto ndani; whether utamleta kimya kimya...kosa liko pale pale.

La kwanza ni usiri...maana unauliza kumleta ndani meaning umeshindwa hata kumfahamisha mkeo uwepo wa huyo mtoto unataka kuja na suprise kubwa kuliko. Lol. Mi naona ni very rude...kuzaa nje umeamua mwenyewe ...na whether mtoto anakuja ku wa join wenzie or not unataka tena kuamua mwenyewe.

Ukipata mke kichaa atapishana na mtoto mlangoni...anaingia yeye anatoka.

Duh! Ni kweli kaka,yaani mtu anatafuta njia ya kistaarabu wakati kishanuka. Sana sana ni mimi kiangaika na malezi ya mtoto huyo kwa sababu ni kiumbe wa Mungu na anastahili kupata matunzo mazuri sawa na watoto wengine.
 
Kama hofu ni kwamba siku mtoto atakapotambulishwa ndani ya familia, ndiyo siku mke atakutosa, inabd utulize kwanza, mke akishatimia miaka 45 tu, mtambulishe. Itabd avumilie tu, na mara nyingi wanawake umri huu huwa si wasumbufu. Lakini kama mkeo yuko thirty five kushuka chini, inaweza kula kwako.
 
dunia hii full unafiki.

Wanamme wako disadvantaged kuhusu watoto wa nje. Wao wakizaa inajulikana from day one.

Ni wanamme wangapi wanalea mamluki??
Ukifikiria hapo tu, hutaona haja ya kumnyima mwanamme kukaa na mwanae.

wazazi huwa wankuwa wabinafsi...kitendo cha kumleta mtoto wa kufikia nyumbani na akajua kuwa huyo anayeishi naye si mama au baba yake tayari ni athari kwa mtoto kisaikolojia
 
ha ha ha, afu wewe
uje umchukue kabisa, kwanza hata matumizi hutoi.

Sikukuambia uyaseme ya mimi kutotoa matumizi ila uwaambie formula niliyotumia kumleta mtoto kwako, wee vipi?

Btw: Nimezipenda comments zako (minus hii ya kuniumbua kadamnasi of course) kwenye hii "sread". Big up sweetie!
 
Kama ulivyoanza kubanjua nje..ndivyo utajkavyoanza kutambulisha
 
Swala ni kwamba akibaki huko hatafahamiana na wenzake na hatari yake wanaweza kufanya mahusiano ambayo yatagrarimu zaidi, kama kuoana au kufanyiana vitu vibaya pasipo kufahamiana, na pia ufahamu kwamba huyo ni binadamu na laziam aoe au kuolewa je utafurahi ukiambiwa kuwa mumeo ana kikao cha harusi ya mtoto wake wa nje na wewe humjui????? afadhali kama anaomba msamaha amtambulishe na aendelee kuishi huko huko japo atakuwa na malezi tofauti

anitambulishe ili kiwe nini?nimlee?hapana jamani sina hicho kifua cha kule mtoto wa mwanamke aliyeingilia ndoa yangu!baki huko kwa moyo mweupe!
 
Back
Top Bottom