Jinsi ya kumtibu mpenzi anae kupa bao moja nawe ujaridhika<

Mamaa Fasiness

New Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
4
Reaction score
4
Nunua tikitimaji moja na ndimu mbili, kata tikitimaji lako nusu limenye toa nyama ya kati na mbegu zake weka kwenye sufuria kamulia na ndimu zote mbili tia maji kidogo weka jikoni ichemke kidogo mtilie yale maji na zile mbegu za tikiti mpe anywe kama juisi alafu muanze mambo yenu utaona jinsi inavyo fanya kazi kama ulizoea moja utapata mawili.
 
Atakaepata bao zaidi ya moja ni -ke au -me?
 
Owkey! tiba mbadala kwa wenye matatizo ya bao moja.
 
eti wasomi,kuna biological explanation,au ni kama ile ya kimasai?
 
Nunua tikitimaji moja na ndimu mbili, kata tikitimaji lako nusu limenye toa nyama ya kati na mbegu zake weka kwenye sufuria kamulia na ndimu zote mbili tia maji kidogo weka jikoni ichemke kidogo mtilie yale maji na zile mbegu za tikiti mpe anywe kama juisi alafu muanze mambo yenu utaona jinsi inavyo fanya kazi kama ulizoea moja utapata mawili.
Kumbe wewe ndiye ulimshauri hivyo mke wangu jana? Kahangaika wee kuninywesha mijuisi yake hiyo matokeo yake jamaa ndiyo kashindwa kabisaaaa kupanda mtungi!
 
Tabu yote ya nini, ili iweje!
 
Dr. wangu MziziMkavu hebu uje huku kutusaidia!!! Ninajua kweli hili tikiti maji linasaidia hasa ukila na mbegu zake. Ila kwa hakika hili tatizo la nguvu za kiume/kike limekuwa ni tishio sana hasa kwa wanaume!! Lazima utafiti ufanyike kugundua chanjo ukiacha vile ambavyo tumezoea kama msongo wa mawazo, pombe, unene kupindukia, sukari, n.k.
 
Kumbe wewe ndiye ulimshauri hivyo mke wangu jana? Kahangaika wee kuninywesha mijuisi yake hiyo matokeo yake jamaa ndiyo kashindwa kabisaaaa kupanda mtungi!
una id ngapi humu?
 
Dr. wangu MziziMkavu hebu uje huku kutusaidia!!! Ninajua kweli hili tikiti maji linasaidia hasa ukila na mbegu zake. Ila kwa hakika hili tatizo la nguvu za kiume/kike limekuwa ni tishio sana hasa kwa wanaume!! Lazima utafiti ufanyike kugundua chanjo ukiacha vile ambavyo tumezoea kama msongo wa mawazo, pombe, unene kupindukia, sukari, n.k.
acha ziwaishe kabisa tupumue wanawake tupumue!
 
Ova dose yake ni balaa unasuguliwa mpaka mashavu yanavimba,teh
 
Kwa wale wasiokwazika kiimani,kitimoto tu ni dawa tosha nyie wenyewe mtaifurahia
Nunua tikitimaji moja na ndimu mbili, kata tikitimaji lako nusu limenye toa nyama ya kati na mbegu zake weka kwenye sufuria kamulia na ndimu zote mbili tia maji kidogo weka jikoni ichemke kidogo mtilie yale maji na zile mbegu za tikiti mpe anywe kama juisi alafu muanze mambo yenu utaona jinsi inavyo fanya kazi kama ulizoea moja utapata mawili.
 
acha ziwaishe kabisa tupumue wanawake tupumue!

Utapumua wapi Smile wangu wakati Viagra ipo? Jamaa akikunywea hii haki ya nani utakuwa unaimba tu haleluya, toba, yala, salam aleikum, yaani ni tararira ile kubwa. Ha ha ha!! Ila bwana bora uimbe taarabu zote kuliko ukutane na kamba aise!! Yaani imagine uko on kama furnace halafu jamaa kabisa dorooooooo!!
 
Back
Top Bottom