Mamaa Fasiness
New Member
- Jan 29, 2013
- 4
- 4
Kumbe wewe ndiye ulimshauri hivyo mke wangu jana? Kahangaika wee kuninywesha mijuisi yake hiyo matokeo yake jamaa ndiyo kashindwa kabisaaaa kupanda mtungi!Nunua tikitimaji moja na ndimu mbili, kata tikitimaji lako nusu limenye toa nyama ya kati na mbegu zake weka kwenye sufuria kamulia na ndimu zote mbili tia maji kidogo weka jikoni ichemke kidogo mtilie yale maji na zile mbegu za tikiti mpe anywe kama juisi alafu muanze mambo yenu utaona jinsi inavyo fanya kazi kama ulizoea moja utapata mawili.
Nunua tikitimaji moja na ndimu mbili, kata tikitimaji lako nusu limenye toa nyama ya kati na mbegu zake weka kwenye sufuria kamulia na ndimu zote mbili tia maji kidogo weka jikoni ichemke kidogo mtilie yale maji na zile mbegu za tikiti mpe anywe kama juisi alafu muanze mambo yenu utaona jinsi inavyo fanya kazi kama ulizoea moja utapata mawili.
eti wasomi,kuna biological explanation,au ni kama ile ya kimasai?
Nunua tikitimaji moja na ndimu mbili, kata tikitimaji lako nusu limenye toa nyama ya kati na mbegu zake weka kwenye sufuria kamulia na ndimu zote mbili tia maji kidogo weka jikoni ichemke kidogo mtilie yale maji na zile mbegu za tikiti mpe anywe kama juisi alafu muanze mambo yenu utaona jinsi inavyo fanya kazi kama ulizoea moja utapata mawili.
una id ngapi humu?Kumbe wewe ndiye ulimshauri hivyo mke wangu jana? Kahangaika wee kuninywesha mijuisi yake hiyo matokeo yake jamaa ndiyo kashindwa kabisaaaa kupanda mtungi!
Kwa sababu nakupenda!:mwaaah:
acha ziwaishe kabisa tupumue wanawake tupumue!Dr. wangu MziziMkavu hebu uje huku kutusaidia!!! Ninajua kweli hili tikiti maji linasaidia hasa ukila na mbegu zake. Ila kwa hakika hili tatizo la nguvu za kiume/kike limekuwa ni tishio sana hasa kwa wanaume!! Lazima utafiti ufanyike kugundua chanjo ukiacha vile ambavyo tumezoea kama msongo wa mawazo, pombe, unene kupindukia, sukari, n.k.
Nunua tikitimaji moja na ndimu mbili, kata tikitimaji lako nusu limenye toa nyama ya kati na mbegu zake weka kwenye sufuria kamulia na ndimu zote mbili tia maji kidogo weka jikoni ichemke kidogo mtilie yale maji na zile mbegu za tikiti mpe anywe kama juisi alafu muanze mambo yenu utaona jinsi inavyo fanya kazi kama ulizoea moja utapata mawili.
acha ziwaishe kabisa tupumue wanawake tupumue!