Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
@mkoreaNmesoma nmeishia Kati kati unafundishaje mtu kutongoza mke mtu , Ebu acha kupotosha jamii mbwa Koko ww,ww ni pepo tena unatakiwa ukemewe
Punguza makasirikoNmesoma nmeishia Kati kati unafundishaje mtu kutongoza mke mtu , Ebu acha kupotosha jamii mbwa Koko ww,ww ni pepo tena unatakiwa ukemewe
😅😅😅😅😅muone kwanzalabda kama ni kutembea ,siku hizi kila kitu kinaishia kwa Akina Prof Janabi [emoji23][emoji23]
🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️ We baba kuna mtu huku ananiimbisha songi za mtongozo utanipeperushia ndege wangu ujue 🤪🤪haki najutraaaHehehehe weee wajua nikiwa ndan nakua mdogooo, unaniweza
😆😆😆😆😆uwe wewe kabisaaaa.tena ngoja nijitie kufuli ufunguo nikatupe baharini wallahi tenaHahahaha , kua na amani [emoji23]
Ndo mie hapa.
Ahsantee Mama !! Wacha nijiagize kitu cha Jack Daniel !!The Jackal agiza kinywaji nakuja kulipa
Jamaan kwan mie nanini[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]uwe wewe kabisaaaa.tena ngoja nijitie kufuli ufunguo nikatupe baharini wallahi tena
Ewaaa ulivyotabasam, umefanya nam nitabasam mara mbili zaidi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]muone kwanza
Mimi whisky situmii bwana hiko kinakufaa wewe bwanaAhsantee Mama !! Wacha nijiagize kitu cha Jack Daniel !!
Ila ningependa tukitumie kwa pamoja mimi nawewe.
Nimesikitishwa na Uzi huu,ningekuwa admin ningekuwa tayari nimeshaufuta kwasababu hauna maadili, Sasa hivi watu tunapambana kujenga familia bora lkn wanakuja mapimbi km huyu mtoa uzi kuelekeza namna ya kuvunja ndoa za watu wakati wanawake wasioolewa ni wengi tu.Upuzi mtupu. Unajisifia kutongoza wake zetu ? Mungu amekulaani. Na atazidi kukulaani na kizazi chako.
Kweli mkuu,japo na mimi nimewahi kutafuna wake za watu,kwa kweli ni kitendo kibaya nakijutia,Naomba Mungu anisamehe Mimi mwenye dhambi.Mwenyezimgu na malaika yote wanachukizwa na tendo la kuvunja ndoa. Na anazidi kulaaniwa wale yote wanao sababisha ndoa za waugwana kuvunjika.
Hahahah hahaha jamaa, nmevaa uhusika wako hapaNimesikitishwa na Uzi huu,ningekuwa admin ningekuwa tayari nimeshaufuta kwasababu hauna maadili, Sasa hivi watu tunapambana kujenga familia bora lkn wanakuja mapimbi km huyu mtoa uzi kuelekeza namna ya kuvunja ndoa za watu wakati wanawake wasioolewa ni wengi tu.
Badala ufundishe tabia njema,unafundisha ushenzi.Ivi umeshawah kutana na Jidada mmoja mwenye uchumi wake kukuzidi yaan wee unajiweza lkn yeye kakuzidi na umemuelewa kinoma yaan??
Au tu ni Mke wa mtu sema umemuelewa ??
Sasa leo nawapa siri nyingine ya hawa viumbe , hii siri Ukijua kuiexercise itakupa Mwanamke yoyote unayemuhitaji in a really World !!
Awali ya yote , Ukubali kua Hamna mwanamke chini ya Jua anayejiamini 100%, kwa mfano, siunaona hata huyu Pisi wa Tanzania alochaguliwa majuzi? Huwez amin alipo , HAJIAMINI 100% Ingawa ndio miss TZ .
Unachohitajika nikua Mwanaume mwenye Kujiamin ,kisha elewa namna ya KUCHEZA NA MIND YAKE.
Turudi kwa mada yetu..... Leo nitajikita kwa hawa Wake za watu!!!.
Mwanamke akishaolewa yaan aisee Mwanamke akishaolewa HAMNA KITU ATAKACHOLINDA MAISHANI MWAKE KAMA "REPUTATION" YAKE... Yaan hapa Atafanya kila kitu anachoweza kuepuka kuonekana yeye ni Msaliti au mwepesi HATA KAMA YUKO KWENYE NDOA INAYOMUUMIZA KILA SIKU.
So hawa wanawake waloolewa, sio wa kukurupukia ovyo.. Ni ama Akukubali au Akushushe heshima maisha yake yote ...
Unahitajika kufanya nn???... Changamana naye, jenga uhusiano wa kisalamu kisha njoo hapa[emoji116]
Shariti namba moja la kumpata mke wa mtu ni LAZIMA Umwonyeshe SURA MBILI TOFAUTI..
Mie huwa naziita "Sura Jamii na Sura binafsi"
Sura jamii ipoje?? Hawa wanawake imetokea umeshajenga naye ule ukaribu, USIJE KUTHUBUTU Kumfanyia jambo la kijinga mbele za watu .... ukumbuke ameolewa huyu ,kwahiyo jaribio lolote ama kumgusa kimahaba au vipi mbele za watu litamfanya akuone unataka kumhatarishia ndoa yake .. Yaan nikm wee, Ukiwa mbele ya jamii huwezi fanya jambo la kipuuzi lolote.
Sura Binafsi, Sasa hapa ni pale ambapo mazingira yanamfanya awe huru, Mfano umeingia Ofisin kwake , au mnawasiliana Inbox , hapa ndipo unapotakiwa kunyoosha maelezo, ukumbuke hawa wanawake wamekua na wanaexperienc ya mahusiano kupitia ndoa, na huenda yuko kwenye ndoa yenye Amani sana nafuraha. Kwaiyo ukifanya kosa la Kumtext kiurafiki, kweli atakugeuza rafiki wa kweli ni akufaaye kwa dhiki, ivo ktk sura hii ndipo mwanaume unatakiwa unyooshe maelezo iwe like... "Ivi unajua kila nikikuona uzuri wako unanisisimua hahahah ".... N.k n.k .... ( hiyo unaichomekea alafu chap unabadili mazungumzo ) ...
Kwann sura jamii na sura binafsi?? Kwa sababu unamfana aamini kua wee sio tatizo hata mkiwa mmesimama mbele zawatu, lkn pia nayeye anajiandaa kiakili kutoka nawee kimapenz kisirisiri kwa sababu hata wee mwenyewe unatumia nyakati za usiri siri kumtafuta.
Baada ya Hapo sasa ...
Mfanye aanze Kumlalamikia Mumewe ... Hapa unaweza muuliza open ques kama vile " Baada ya muda wako wa kazi, au siku zako za mapumziko , huwa unapenda kufanya nn???
Trust me, Wanawake wanaopitia magumu kwenye familia zao, huwa awapendi kukaa nyumban na waume zao, ivo mara nyingi sana utasikia,""" Daah weekend napenda kumtembelea rafiki yangu.......... aaahh Nikirudi ni kujifanyia mambo yangu kesho yake niwahi mapema kazin """....
Kwaiyo hapo mzee unajiongeza tu kua huyu anapitia magumu. Nahapo ndipo nawed unamuuliza... Kwanin hayo??????????
Mwanamke atajayekujibu kua anapenda kukaa nyumban na Mumewe na watoto. Aiseee huyo anampenda Jamaa wake sana.
Lkn km ilivyo binadamu awajakamilika, Ukiamua kuachana naye poa, ila kama unamhitaji weee komaaa
Hapa sasa unaweza endelea nahayaaa
[emoji117]Mfanye sasa nayeye akutake pia yaan mchochee hamu kubwa ya kukutaka , hamu itakayomfanya afeel more and more in love with you kwa wakat huo huo afeel less and less in love kwa Jamaa yake.
Unaifanyaje hii?? utafanikiwa ikiwa Utajinyepeza Kihisia akilin kwake...
Kivipi yan?? Unajua wanawake wanaishi kwa Hisia sanaa sanaaa, sasa hapa Mfano umekutana naye hakikisha unajipenyeza kihisia kwa namna mbili
[emoji117][emoji117]Unapojiongelea wewe, Ongea huku ukijinyooshea kidole na kugusa kifuani kwako mwenyewe yaan kuongea ukiuleta au ileta mikono maeneo ya kifuani kwako
[emoji117][emoji117]Ukiongea kuhusu Mumewe au jambo lolote Baya ambalo linamuumiza kihisia na kumpa mawazo, Ongea kwa kuitawanya mikono kutoka kwako yaan ile kama unasukuma kitu kiende mbali.....
Unajua hapa unaweza usielewe, Ili kwa kufanya hayo matendo huku ukiyanena maneno hayo kulingana na alichokisema, Aiseeee Unakua unaiongoza Mind yake bila yeye kujijua na mwisho wa siku atajikuta yupo addicted sana naweee na hamu ya kukuhitaj itamjaa zaidi.
Nakupa mifano miwili hapa ili uelewee
[emoji117]Labda amekuambia jambo lolote baya alotenda mumewe na linamuumiza....
Wee fanya mjibu namna hii.... ""Daahh hiyo ni hatare na inashangaza sana na sasa nmegundua kwann umechanganyikiwa ( unatulia ,unafanya kama unasukuma kitu mbali ) alafu unaendelea... Ni kwa sababu unajihisi Jamaa hakujali na anakusaliti, nipo sahihi?
[emoji117]Labda amekuambia " Anataman Mume wake angekua kama weewe "
Wee unajibu tu ..Ahsante kwa kunisifia nikweli upo sahihi, ni lazima utafute mtu ambaye anakukubali na kuthamini mchango wako (( Alafu unauleta mkono au mikono yote Kifuani mwako) kisha unaendelea na sound .... sio kwamba ninakuhukumu , hapana , naelewa kile maumivu unayoyapitia na Ahsante sana kwa KUNIAMIN.
Fanya ivo mara kadhaa mnapokutana., na yeye taratibu atajawa nahamu ya kutoka kimapenzi nawee kisirisiri,, ataanza kukutafutia muda wa kukutana nawee, atakua mtu wa furahaa......
Basi unaendelea kujipigia Papuchi bila hata Gharama !!.
Nyongeza !!!!
... Wanawake wanapenda jamaa anayejiamin.
Wanawake hawapendi mfululizo wa mimeseji mingii , yaan wee kila dakika meseji kila dakika mesejii
Naaa, anapokuanza yeye kukutext, usiwe na papara ya kumjibu, jipe muda hata km ni meseji nzuri , Tuliaaaaa
Mie huwa naiita, "Kudharau kwa Faida".... kwakua umeshamchochea hamu ya kukuhitaji, weee jifanye hujaiona meseji, na unapomjibu, acha kabisa kutumia meseji mia ndan ya dakika.....
Wale wazee wa Mwanamke Pesa, endeleen kutoa Pesa, ila ndo ivo !!!.
Kwaiyo umeshaacha au unaendelea Mkuu??Kweli mkuu,japo na mimi nimewahi kutafuna wake za watu,kwa kweli ni kitendo kibaya nakijutia,Naomba Mungu anisamehe Mimi mwenye dhambi.
Aaaahhh sawa, nmekupataaa all in all, kinywaji huku macho yakichangamka inanogaMimi whisky situmii bwana hiko kinakufaa wewe bwana
Na mwanamke anayejielewa kuliko kumsaliti mumewe hata Kama Kuna gumu lililoshindikana ni heri amuache mume aende zake nae atulie asubiri Qadar yake sio kuchepukayani niharibu ndoa yangu kwa starehe za kupita ambazo kama nikikaa na mume wangu chini nitazipata na kwa uhuru kwa kujiachia kabisa, siwezi kufanya huo upuuzi
mwanaume aliejua thamani yangu akaniweka ndani kati ya wanawake mia alikutana nao leo hii kwa kosa dogo tu nitafte pa kuhemea nje sikufunzwa hivo
matatizo ya ndoa yenu kaeni myaamalize wenyewe kuanza kutafta mabega ya kuhurumiwa ndio kutafta mlango wa kuingilia wa mambo ya ajabu ajabu, always a shoulder to cry on issa dick to ride on,
vitu kama hivi ndio vinafanya ndoa zionekane hazina maana na hii ni mwanamke mjinga ndio atabeba akajaribu huko.
kwa kweli yani, hakunaga linalodumu milele, yatapita na kucheouka sio kusuluhisha bal kuongeza ukubwa wa tatizoNa mwanamke anayejielewa kuliko kumsaliti mumewe hata Kama Kuna gumu lililoshindikana ni heri amuache mume aende zake nae atulie asubiri Qadar yake sio kuchepuka