Jinsi ya kumvuta Mwanamke bila hata kutumia shilingi

Nmesoma nmeishia Kati kati unafundishaje mtu kutongoza mke mtu , Ebu acha kupotosha jamii mbwa Koko ww,ww ni pepo tena unatakiwa ukemewe
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]muone kwanza
Ewaaa ulivyotabasam, umefanya nam nitabasam mara mbili zaidi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Upuzi mtupu. Unajisifia kutongoza wake zetu ? Mungu amekulaani. Na atazidi kukulaani na kizazi chako.
Nimesikitishwa na Uzi huu,ningekuwa admin ningekuwa tayari nimeshaufuta kwasababu hauna maadili, Sasa hivi watu tunapambana kujenga familia bora lkn wanakuja mapimbi km huyu mtoa uzi kuelekeza namna ya kuvunja ndoa za watu wakati wanawake wasioolewa ni wengi tu.
 
Mwenyezimgu na malaika yote wanachukizwa na tendo la kuvunja ndoa. Na anazidi kulaaniwa wale yote wanao sababisha ndoa za waugwana kuvunjika.
Kweli mkuu,japo na mimi nimewahi kutafuna wake za watu,kwa kweli ni kitendo kibaya nakijutia,Naomba Mungu anisamehe Mimi mwenye dhambi.
 
Hahahah hahaha jamaa, nmevaa uhusika wako hapa

Nmegundua una hasira sana sababu wee unapiga mnoo madem wa pemben


Nasikitika kukuambia kua, ili mradi unapiga njee, Naye atapigwa
 
Badala ufundishe tabia njema,unafundisha ushenzi.
Wakati unakuja,utavuna unachokipanda.
Wagalatia 6:7
 
Kweli mkuu,japo na mimi nimewahi kutafuna wake za watu,kwa kweli ni kitendo kibaya nakijutia,Naomba Mungu anisamehe Mimi mwenye dhambi.
Kwaiyo umeshaacha au unaendelea Mkuu??

Ulipokua hujaoa, ulikua unatafuna wa wenzako


Umeoa, unajifanya nidhambi

Sasa nizamu ya wakwaki naye kupigwa ili muende sawa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Endelea tu bt siku wenye wake zao wakija kukutoa kitu uje kutupa mrejesho.
 
Mimi whisky situmii bwana hiko kinakufaa wewe bwana
Aaaahhh sawa, nmekupataaa all in all, kinywaji huku macho yakichangamka inanoga


Na wee ndio wakuchangamsha macho haya madogoo kama mjapani along'atwa na Nyuki
 
Na mwanamke anayejielewa kuliko kumsaliti mumewe hata Kama Kuna gumu lililoshindikana ni heri amuache mume aende zake nae atulie asubiri Qadar yake sio kuchepuka
 
Na mwanamke anayejielewa kuliko kumsaliti mumewe hata Kama Kuna gumu lililoshindikana ni heri amuache mume aende zake nae atulie asubiri Qadar yake sio kuchepuka
kwa kweli yani, hakunaga linalodumu milele, yatapita na kucheouka sio kusuluhisha bal kuongeza ukubwa wa tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…