Gotze Giyani
Senior Member
- Feb 28, 2022
- 127
- 194
Wadau poleni na majukumu nilikuwa naomba kuuliza jinsi ya kunua hisa za NMB au CRDB ni mpaka uwende DSE.
Kingine je faida za hizo hisa zake kwa aliyejiunga zikoje naomba mwenye uzoefu tafazali maana napenda sana uwekezaji nimevutiwa na platform mbali mbali nilizokuwa napitia nimeziona pia zikimzungumzia Warent Buffet na watanzania wengine waliofanikiwa kwenye uwekezaji wa hisa japo najua wachangiaji watakuwa wachache ila naomba wawe wachache wenye faida.