Gotze Giyani
Senior Member
- Feb 28, 2022
- 127
- 194
Weka pesa yako UTT huko kwenye hisa za mabenki inaweza poteaWadau poleni na majukumu nilikuwa naomba kuuliza jinsi ya kunua hisa za NMB au CRDB ni mpaka uwende DSE .Kingine je faida za hizo hisa zake kwa aliyejiunga zikoje naomba mwenye uzoefu tafazali maana napenda sana uwekezaji nimevutiwa na platform mbali mbali nilizokuwa napitia nimeziona pia zikimzungumzia Warent Buffet na watanzania wengine waliofanikiwa kwenye uwekezaji wa hisa japo najua wachangiaji watakuwa wachache ila naomba wawe wachache wenye faida.
UTT ndio niniWeka pesa yako UTT huko kwenye hisa za mabenki inaweza potea
Ni Mfuko wa uwekezaji wa pamoja ambao ulianzishwa mwaka 2006 wenye mifuko 5 na utoa faida ya 1% kwa mwezi na kwa mwaka ni 12 hadi 14% maelezo zaidi soma Google hata huku jamii forum wameeielezea sana na sikiliza YouTubeUTT ndio nini