Jinsi ya kunyoa nywele private hair kwa majivu na mshumaa au kibatari

Jinsi ya kunyoa nywele private hair kwa majivu na mshumaa au kibatari

Status
Not open for further replies.

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
27,031
Reaction score
49,928
Helo wenyewe,

Leo ni weekend ni siku ya usafi.kuna sayansi ya asili nilifundishwa na bibi yangu jinsi ya kujinyoa huko bila kuacha madhara kama mjuavo nyembe zimekuja miaka huii tu naomba idhini ya jukwaa hili ili niwafundisheni.uzungu unatesa mapele kibao,

Naogopa kuandika bila ruhusa halafu matusi sitaki wala pm siitaji mtu yoyote. Naingia kwaya nitatoka saa moja nikiruhusiwa nitawapa somo.maana wengine maeneo yao yanatisha yamezeeka wakati bado Tu vijana


Update kwanza samahanini nilichelewa kurudi jmosi.Nimeshindwa kuendelea maana nashindwa kuweka picha nielekezeni.nikiwafundisha hatua kwa hatua na picha ndo mtaelewa.

Kama msiponiona nipo busy nasoma mitihani keshokutwa board!

Say no to gillete
 
Nna mashaka na ushauri wako mana vifaa ulivyovitaja mhhh
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom