Jinsi ya kunyoa nywele private hair kwa majivu na mshumaa au kibatari

Jinsi ya kunyoa nywele private hair kwa majivu na mshumaa au kibatari

Status
Not open for further replies.
Mpendwa naona usiku wa leo ulikua kitoweo,haiwezekani uende kwenye kwaya toka saa 12 jioni mpaka alfajiri hii hujarudi kuleta mrejesho.
 
Helo wenyewe
Leo ni wkend ni siku ya usafi.kuna sayansi ya asili nilifundishwa na bibi yangu jinsi ya kujinyoa huko bila kuacha madhara kama mjuavo nyembe zimekuja miaka hii Tu
Naomba idhini ya jukwaa hili ili niwafundisheni.uzungu unatesa mapele kibao
Naogopa kuandika bila ruhusa
Halafu matusi sitaki wala pm siitaji MTU yoyote
Naingia kwaya nitatoka SAA moja nikiruhusiwa nitawapa somo.maana wengine maeneo yao yanatisha yamezeeka wakati bado Tu vijana
Say no to gillete

hautakuwa uchawi kweli huo
 
Mpendwa naona usiku wa leo ulikua kitoweo,haiwezekani uende kwenye kwaya toka saa 12 jioni mpaka alfajiri hii hujarudi kuleta mrejesho.

Huyu lazima kwaya master kaimba nae mpaka asubui maana makwaya masta wanawafaudu sana hawa sauti ya kwanza!
 
Mleta uzi shikamoo. ...naona umepata mafuriko pm. ..janja sana wewe
 
Kwa pigo hizi,utakuwa bado unavaa gagulo tu wewe!
Na yale ma skirts ya marinda kama mwalimu wa upe , huyo alivyo mwafrika inaonyesha hata deodorant anatumia ile ya kiasili ya ndimu.
 
Hahahaaaaaa hahahaaaaaa kanimbia atarudi baadae muda huu anahesabu sadaka, Alisahau kumbe alikua zamu leo kanisani
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom