Jinsi ya kunyoa nywele private hair kwa majivu na mshumaa au kibatari

Jinsi ya kunyoa nywele private hair kwa majivu na mshumaa au kibatari

Status
Not open for further replies.
toka bas huko kanisani uje? wengne tupone aseh maana vipele sasa vimeanza kuwa kama sugu
 
Hahahaaaaaa hahahaaaaaa kanimbia atarudi baadae muda huu anahesabu sadaka, Alisahau kumbe alikua zamu leo kanisani
hili somo linaendana na picha sa nashindwa kuweka
 
Haha. 'wife material' alert fellas. 1. Anatafuta. 2. Anaimba kwaya. 3. Ni mstaarabu, hapendi matusi wala lugha za maudhi. 4. Ana maadili na anautukuza uafrika.

Mwenye macho na aone.
honestly i hate u! Your too judgmental! Yes am a wife material but am not interested in anybody here
Am not searching....for anything i can be with whoever i want am not a looser like u
 
Acha basi maringo na nyodo mamaaa kisa hako kaujuzi ka kunyoa kibush bush tu... ndio utuchanganyie habari???
ngoja kidogo kuna laptop nilimpa mtu hajarudisha nataka niweke picha sasa hivi natumia simu nashindwa kuweka
 
Uuuwiiii eeeti? mi wiki 2 nakereka wewe unawezaje?

Wewe usiponyoa kiboksi manyoya kitaziba itakua shida kwa mzee kuingia. Pia huya yanachana mzee yakiwa yameziba kiboksi manyoya.

Mimi ninayo mwaka wa sita sasa na sina mpango wa kuyanyoa, yanamlinda kaka mkubwa, hayazuii mtu kuimba.
 
natafuta ndugu yangu leta huo ujuzi leo jamani! mie nataka niwe wakwanza kutumia hicho kibatari kunyolea humu jf nilete na mrejesho
 
Last edited by a moderator:
Wewe usiponyoa kiboksi manyoya kitaziba itakua shida kwa mzee kuingia. Pia huya yanachana mzee yakiwa yameziba kiboksi manyoya.

Mimi ninayo mwaka wa sita sasa na sina mpango wa kuyanyoa, yanamlinda kaka mkubwa, hayazuii mtu kuimba.

mmmmmh! mwaka wa 6??
unasukaga au rasta
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom