First off, mwaga chini kiduchu kuhakiki kama ipo vizuri yaani haijaeksipaya.
Utaona povu.
Piga lesi ndefu ukiwa umebana pumzi, rudisha chupa mezani.
Sikilizia Dk 1 then rudia tena hadi ikate. Anza nyingine.
Ushauri wa bure:
Usibusu busu bia. Matumizi ya glasi ni kupoteza muda na kujieksipozi na majanga.
Mawaidha yanatosha, muda wa vitendo now!
Cheers!