Jinsi ya kunywa wine yako

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Unapoitia mdomoni unaiskilizia fleva yake unaivuta kama Kwa sekunde tano mdomoni kisha unaipitisha taratibu katika koo na kuisikilizia Ladha ya kipekee ya mvinyo.

Kwanini tunajiumiza Kwa mabia na mapombe makali wakati kuna kinywaji Safi cha wine hata ukijipatia vi image vyako vitatu vya baridi.

Inasemekana wine inaongeza umri wa kuishi ina historia ndefu haina makemikali na haina madhambi.
 
Muelewe
 

Attachments

  • The-Denver-Post.jpg
    101.8 KB · Views: 8
appostle kuna muujizaa hukuu, nini kimetokea mtumishiiii, ngano inatukanwa huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…