Jinsi ya kuomba chuo bila kupitia t.c.u

Joram kiango

Member
Joined
Aug 25, 2013
Posts
82
Reaction score
16
Naomba msaada wa jinsi ya kuomba chuo bila kupitia t.c.u kwani kwenye slots vyuo vingi vizuri havipo na kuhusu mkopo itakuaje?
 
Tc very easy&doesn't cost a thing Nenda direct chuoni,u ll be admitted but kuhuxu mkopo itabidi uende makao makuu bodi,ili ukaombe! Umenipata mkuu?? Kwani tcu transfer deadline c ilishapita? N hayo tu [updated-boy"0768260834"]
 
Tcu deadline imepita alafu kwenye vyuo walivyoeka watu wafanye transfer ni aidha chuo kibaya au kozi mbaya infact nataka kusomea dar kwani mkoani nkikosa loan cjui itakuaje. .n what if cna ile point 0.5 ya gs tunaweza negotiate?
 
Mkopo ni kwa wale wa tcu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…