Jinsi ya kuomba vyuo vya uganda

Sanjeyakati

Member
Joined
Jan 12, 2016
Posts
14
Reaction score
2
Nataka kuomba nafasi za kusoma shahada ya kwanza katika fani za afya cchuo cha mbarara university,utaratibu ukoje kwa wanafunzi wa kitanzania?
 
Habari ya Uzima wajumbe, nina mpango wa kusoma MED Uganda hususani lugha ya Kingereza kwa kuwa ndio lugha inayotumika zaidi huko. Hivyo kma kuna mdau yupo Uganda anaendelea na masomo naomba alielekeze njia za kupita.
 
Nahitaji kufahamu vyuo bora vya kozi ya maabara (Laboratory).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…