Sanjeyakati
Member
- Jan 12, 2016
- 14
- 2
Nataka kuomba nafasi za kusoma shahada ya kwanza katika fani za afya cchuo cha mbarara university,utaratibu ukoje kwa wanafunzi wa kitanzania?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda chuoni....Nataka kuomba nafasi za kusoma shahada ya kwanza katika fani za afya cchuo cha mbarara university,utaratibu ukoje kwa wanafunzi wa kitanzania?
Nimeipenda, na Nimekipenda CHUO.
Ulifanikiwa mkuuNataka kuomba nafasi za kusoma shahada ya kwanza katika fani za afya cchuo cha mbarara university,utaratibu ukoje kwa wanafunzi wa kitanzania?
Tafadhali unaweza kunisaidia link ya Makerere au Kampala?
mbarara university of science and technology UgandaNahitaji kufahamu vyuo bora vya kozi ya maabara (Laboratory).
mbarara university of science and technology UgandaNahitaji kufahamu vyuo bora vya kozi ya maabara (Laboratory).