ommymbwambo
Senior Member
- Mar 25, 2014
- 192
- 66
Njia nyingine ya kupunguza tumbo(kitambi) ni mchanganyo wa asali+mdalasini.weka glas ya maji na kijiko cha mdalasini na kijiko cha asali ktk maji yenye uvuguvugu kidogo.kunywa asubuhi na jioni.muhimu usile chakula mpaka kushiba pia chakula cha usiku usile baada ya saa mbili ucku.mimi imenisaidia sana/QUOTE]
Chakushangaza kuna watu wanapenda wanawake wanene hasa wenye makalio makubwa na vitambi. we differm
Mzizimkavu,
Asante kwa darsa,vipi mbona mnyama wa taifa haujamzungumzia kabisa ?.
Njia nyingine ya kupunguza tumbo(kitambi) ni mchanganyo wa asali+mdalasini.weka glas ya maji na kijiko cha mdalasini ktk maji yenye uvuguvugu kidogo.kunywa asubuhi na jioni.
Njia nyingine ya kupunguza tumbo(kitambi) ni mchanganyo wa asali+mdalasini.weka glas ya maji na kijiko cha mdalasini ktk maji yenye uvuguvugu kidogo.kunywa asubuhi na jioni.
hiyo green tea haina madhara?
green tea pia ni nzur ktk kupunguza unene na kitambi