Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

Nimeisoma post yake na kuidismiss right away kutkana ujasiri wake wa ku ignore mambo muhimu kwa afya ya mtu aidha kwa kujua ama kutojua!so misleading in a certain way!
 

Jamani umefanyaje mapka ukapungua kilo zote hizo kwani na mimi uzazi huo umenikosti hadi najichukia jamani.!nisaidie na mimi ulifanyaje???
 
Last edited by a moderator:
binafsi nashindwa kabisa kufanya diet mpaka wakati mwingine najishitukia na hili linatokana na maisha yetu kuwa yasiyotegemeka kuna siku unazo kunasiku huna
 
Mzizimkavu mimi kila siku nakunywa maji ya vuguvugu asubuhi kabla ya chochote,ila sijawai kuweka limao wala asali,kuna nimekutanae amenianiambia ninaongeza kitambi,pia na zile nyama za pembeni(chini ya mbavu na kiuno)kama mhindu vile,nikachoka kabisa,ial ngoja niweke limao nione itakuaje
 
Habarini wadau naamini hakuna lisiloshindikana katika jukwaa hili mi ni mdada mrembo tu ila Nina tumbo kubwa kidogo nataka niondoe kitambi kabisa tumbo langu liwe flat kama zamani naombeni msaada wenu wa mbinu za kutumia kumaliza hili tatizo.[emoji8]
 
Punguza vyakula vya mafuta.

Zingatia mazoezi.

Acha kutumia madawa ya uzazi wa mpango.

Niendelee?, inatosha
 
Njia inayojulikana ni mazoezi ( lakini mazoezi inatakiwa yawe endelevu ukiacha kidogo tu na ukajisahau tumbo linakuja x 3 ya mwanzo) na kuna dawa zao za kupunguza tumbo au kupungua jumla,lakini mimi nina wasiwasi nazo kama ni nzuri kiafya.
 

Linaloshindikana......
 
pendelea kunywa maji ya moto, epuka vyakula vya mafuta, kula chakula cha jioni mapema tena usishibe sana, usiku ukisikia njaa kula matunda. I hope tumbo litakua flat kama unavyotaka.
 
Weka picha kwanza tuone mi kiasi gani uko effected
 
Tumbo unaweza ukalipunguza bila mazoezi. Tafuta formula ya moangilio wa vyakula asubuhi ule nini usile nini mchana na usiku. Just a tip. Acha vyakula vilivokaangwa kwa mafuta, punguza wanga sana na sukali. Lisipopungua umelogwa!!
 
Ukitaka ku lose mafuta au kitambi (belly fat). Ni jambo la strategies tu; zingatia mambo yafuatayo

1. Acha kula vyakula vya sukali; na uepuke vinywaji vyenye sukali

2. Kula sana vyakula vyenye Proteins although hii itakuwa kama Long-Term Strategy but ni mhimu

3. Ondoa kabisa Carbs yani Carbohydrates kwenye diet yako

4. Kula vyakula vyenye Fibers

5. Kama inawezekana Aerobic Exercise pia ni bora ukafanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…