Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

Kweli kabisa nakuunga mkono mi nili2mia mwezi moja nimekata kilo nyingi sn
dawa ni kuacha chakula cha wanga na sukar co mafuta
 
We hapo umefanikiwa kwa sababu umepunguza kula tu na wala si kwa sababu ya Hiyo konyagi
 
We hapo umefanikiwa kwa sababu umepunguza kula tu na wala si kwa sababu ya Hiyo konyagi
nan amekwambia nmepunguza kula?? cjapunguza kula ila nliacha kula vyakula vya mafuta kwahyo ikawa ni dona kisamvu na dagaa kwa sana wa kutosha
 
nan amekwambia nmepunguza kula?? cjapunguza kula ila nliacha kula vyakula vya mafuta kwahyo ikawa ni dona kisamvu na dagaa kwa sana wa kutosha

Kwa aina ya vyakula hivyo ulivyokuwa unakula hata usingekuwa unakunywa hizo nyagi ungepungua tu, kwa Hiyo hapo point yangu ni kwamba kilichopunguza uzito wako si nyagi Bali ni aina ya vyakula ulivyokuwa unakula
 
daah sidhani nyagi ina nafasi yake kwenye kuyeyusha mafuta fasta

kama ukiacha kula mafuta maanaake tumbo lingebaki vilevile haliongezeki ila limetoka kabisa
 
Hiyo siyo Dawa maana umeshasema punguza kula vyakula vya mafuta na ni ambayo hata ukiendelea kugonga vyakula vya mafuta ndoo nzima hutapata kitambi
 
Sasa wewe mwanangu umepunguza milo lakini ukija kukalia msosi huo wa mara moja kutwa unakuwa kama unahama! Ukitoka zoezi nako ukija kukalia sahani ya msosi kama huji kula tena!! Labda umwambie Shaka akupeleke Mombasa!!
 
Ungeweka uzito wako wa sasa mkuu na malengo yako upungue hadi uzito gani? Nilikuwa na tatizo kama lako mimi nilifanikiwa kukata kitambi bila kwenda gym
 
Tatzo linaweza lisiwe kupunguza kula ila ni aina gani ya chakula.. usifanyeFanye mazoezi FANYA Mazoezi kupungua Uzito si jambo la muda mfupi..
 
Dawa unayo mbna
Simple
Acha kula kilichokunenepesha ili ujikondeshe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…