T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Niliposoma nikapima uzito nikiwa mtaani. Kudadadeki nina kilo 59 tu. Yani tangu mwaka juzi nimeongeza kilo moja. Tatizo langu ni kula kwa kulazimisha ona hadi mchana huu sijala. Tena hii kilo moja imeongezeka mwezi huu nilipoacha kupiga pasi ndefu, najua itakata ndani ya mwezi nikirudia pasi ndefu.
Sijawahi fikisha kilo 60. Kilo zangu ni 58 na ni mrefu sasa.
Sijawahi fikisha kilo 60. Kilo zangu ni 58 na ni mrefu sasa.