Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

Niliposoma nikapima uzito nikiwa mtaani. Kudadadeki nina kilo 59 tu. Yani tangu mwaka juzi nimeongeza kilo moja. Tatizo langu ni kula kwa kulazimisha ona hadi mchana huu sijala. Tena hii kilo moja imeongezeka mwezi huu nilipoacha kupiga pasi ndefu, najua itakata ndani ya mwezi nikirudia pasi ndefu.

Sijawahi fikisha kilo 60. Kilo zangu ni 58 na ni mrefu sasa.
 
Kuna kitu kinaitwa "CICA" yani Calories In, Calories Out. Kwa kifupi ili uweze kupungua ni LAZIMA ule calories chini ya kiwango ambacho mwili wako unahitaji. Maana yake ni kwamba, 1. punguza kula sana au 2.kula sana vyakula vyenye Calories chache. Pia ni vizuri ukajua kwamba utapungua mwili mzima, haiwezekani kupunguza kitambi tu peke yake.
 
yan na ujanja wako wote kumbe unatumbo kubwa😅 any way ukiamka asubuhi kunya glass moja ya maji yalio wekwa ndimu au limao tunda usiku usile sana vitu vya mafuta na sukari nyingi
 
Minataka kupungua mwili mzima..Ila maziwa yangebaki maana Ni madonchoro ..yakienda itakuwa so sad
 
yan na ujanja wako wote kumbe unatumbo kubwa[emoji28] any way ukiamka asubuhi kunya glass moja ya maji yalio wekwa ndimu au limao tunda usiku usile sana vitu vya mafuta na sukari nyingi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]....Mkuu imagine nikiwa Bibi itakuwaje..hehehe...kitambi Kama diaba.
 
Aiseee...Huo uvivu wakula hua mnautoa wapi jamani..mbona Mimi sinauvivu was kula..naweza kufunga nikiaamua ....ila kupiga pasi ndegu Ni shida.
 
Pilipimanga+ginger+cinnamon+honey+hot water ×3 per day

Ginger+garlic+lemon+honey ....chemsha ipoe vugu weka honey kunywa

Thank me later 😊
 
Njia ya kupunguza mwili/kitambi ni

1. Mazoezi

2. Diet, yaani Punguza matumizi ya wanga kwa asilimia kubwa

Aina ya mazoezi pitia YouTube unaweza kupata ideas
 
ukicheza mzk --mumeo ataonekana kama anasogeza frigi. mtu si mtu pipa si pipa au kafanye sajare tu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]...jamani hapo ntakuwa Kibonge. Kweli...Sajare napata wapi Dolla..wakati Mimi dhooful Hali.

Ntakomaa TU na diet...Maana hakuna namna
 
We ni modal bila shaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…