Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

Kitu pekee cha kuepuka hilo tatizo ni kuangalia upya ulaji wetu, na mazoezi ya kutosha, baasi!
 
Naendelea......

Ngoja nikupe faida ya Almond oil katika ngozi yako ziko nyingi ila nitaeleza chache

1 - Cleanse and Eliminate Toxins in Your Body-making your skin smooth and glowing from inside.

2 - Major Source of Vitamin E- it nourishes your skin and makes it healthy

3 - Reduces Wrinkles [COLOR=blue !important][/COLOR]and Fine Lines in Your Face-Because of its various antioxidants and anti aging properties, you can use almonds to [COLOR=blue !important]reduce [COLOR=blue !important]wrinkles[/COLOR][/COLOR] and fine lines in your face. It can be done by massaging your face regularly with almonds oil. When you apply regular massage with this oil, you will have remarkable glowing and radiant complexion that will make you look younger than your age.

There are other almonds skin benefits to prevent [COLOR=blue !important]aging[/COLOR] such as reduce black circles around eyes and revitalize your skin.

4 - Help Cure Acne, Pimples, Zits, [COLOR=blue !important]Blackheads[/COLOR], and Whiteheads--When treated regularly with almonds oil, your acne will gradually disappear.


Hizo ndio faida ya almond oil hata kama hujafanya body wrap basi massage ni muhimu at least mara 2 kwa wiki you will get very amazing health skin kwa wadada hutokuwa na aja kutumia mkologo lol!

OK baada massage sasa anza kupaka mchanagayiko wako zile sehemu unazopenda zipungue
Then start wrapping huku uki cover na bandage ili iweze kushika vizuri

Drink atleast 6-8 glasses of water while your wrap is on kwa dk 45-50 huku ukiendelea na kazi zako zitakazo kufanya utoke jasho like ukiwa unapika, kufua au usafi.

Baada ya hapo remove wrapping kaa wa nusu saa aply cellulite lotion .
usioge kwa angalau masaa 8 yapite huku unakunywa maji mengi

Nakuhakikishia ukifanya haya kwa muda wa miezi 2 matokeo utapata vizuri sana kwa mimi nilikuwa nafanya wrapping once a week tu ila kama una tumbo kubwa sana wrap mara 2 kwa wiki

Na hawa ndio waliofanikwa kupungua kwa njia hii....angalia picha


I hope itakuwa useful na kesho nitawaaeleza njia ya kushave kiasili na kutoa weusi wa makwapani na kwenywe papuchi na jinsi ya kutoa vipele vinayotoka baada ya ku shave

Usipopaelewa uliza but liwe swali la msingi

Ijumaa Kareem
 

Attachments

  • 558089_312880505481452_1989880775_n-246x300.jpg
    558089_312880505481452_1989880775_n-246x300.jpg
    11.2 KB · Views: 409
  • embedded_Abdomen_Wrap.jpg
    embedded_Abdomen_Wrap.jpg
    25.7 KB · Views: 375
  • C360_2014-04-11-09-24-25-923.jpg
    C360_2014-04-11-09-24-25-923.jpg
    119 KB · Views: 393
  • $_72.jpg
    $_72.jpg
    13.4 KB · Views: 341
  • wrap final.jpg
    wrap final.jpg
    15 KB · Views: 361
  • wrap%20Get%20your%20guy%20the%20gift%20of%20wrapping%20.jpg
    wrap%20Get%20your%20guy%20the%20gift%20of%20wrapping%20.jpg
    41.7 KB · Views: 358
Kitu pekee cha kuepuka hilo tatizo ni kuangalia upya ulaji wetu, na mazoezi ya kutosha, baasi!

Ni kweli ulaji unachangia kwa asilimia nyingi tuepuke kula junks food au vipolo, unywaji pombe na vitu vya sukari
 
Eat well, Sleep well and burn extra calories kwa kufanya mazoezi...
 
Swali langu kama la makuka plzz.. then wraps hata zile zakufunikia chakula zinafaa?
 
WAMAWAKE wengi wanatamani kuwa na matumbo madogo, lakini wengi hushindwa kufikia ndoto hiyo kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo za uzazi na kupenda chakula.
1. Uangalifu katika kula

Epuka chakula chenye wanga, mafuta mengi na sukari. Badala yake unaweza kula matunda na mboga za majani. Vile vile samaki wa baharini si wabaya kwani hawana mafuta mengi.
2. Namna ya kula

Usiache kula kwani jambo hilo litakunyima nguvu, unatakiwa kula milo mitatu mpaka minne lakini kwa kiasi kidogo. Unatakiwa kukaa zaidi ya saa tatu kabla ya kula mlo mwingine.
3. Mazoezi ya kawaida

Sio lazima ufanye mazoezi makali kwa ajili ya kupunguza tumbo. Unaweza kufanya zoezi la kutembea badala ya kupanda basi, kama hufiki mbali sana. Kama unaweza kuogelea, unaweza kufanya hivyo mara kwa mara, hiyo pia itakusaidia.
4. Zoezi maalum

Kama unaweza kufanya zoezi la kulala chali na kukaa, 'abs exercise' unaweza kufanya kwa dakika chache kila siku. Hiyo itasaidia kukomaza misuli ya tumbo hivyo tumbo kutokulegea.
5. Kunywa maji

Maji yanasaidia mmeng'enyo wa chakula, hilo husaidia mtu kuwa na afya njema. Kwa kuwa mtu akiwa katika hatua za awali za kupunguza tumbo husikia njaa mara kwa mara, ni bora anywe maji badala ya kula.
 
Dada zangu wanavyopenda kitimoto na bia kweli watafanikiwa. Watembee kwa miguu kwenda kanisani au kitchen party. watajulikanaje kwamba wana VITZ . yaani wanawake wa TZ waache kama walivyo. mvuto ni zero kabisa.
 
Dada zangu wanavyopenda kitimoto na bia kweli watafanikiwa. Watembee kwa miguu kwenda kanisani au kitchen party. watajulikanaje kwamba wana VITZ . yaani wanawake wa TZ waache kama walivyo. mvuto ni zero kabisa.

Hahahahaha mtuache tujinenepee sie
 
umeshuka vizuri mkuu....nyongeza ndogo tu...chai ya mchaichai ukipata na mvuje(Indian carry leaves) ni mujarabu kuyeyuhsa mafuta mwilini....wanawake wengi wana pressure ya kushuka kwa hio ni vyema wawe wanatumia kwa siku 5 mara mbili kwa siku...ikesha wapumzike wiki 1....halafu wanye tena...kama watakua wanatumia mchachai uliochanganywa na mvuje...Mchaichai peke yake hauna tabu wanaweza kunywa bila kupumzika....muhimu aweke sukari ya mbaali sana
 
Njia nyingine ya kupunguza tumbo(kitambi) ni mchanganyo wa asali+mdalasini.weka glas ya maji na kijiko cha mdalasini ktk maji yenye uvuguvugu kidogo.kunywa asubuhi na jioni.
 
Back
Top Bottom