Habari wana JF Chef!
Tafiti zinaonesha ndoa nyingi zinavunjika majumbani na sababu ni wakina Mama na wakina Dada kilasiku kuunguza WALI, na sababu kubwa ni kushinda kwenye Tv , Vikoba , Upatu na magenge ya kusengenya watu mpaka jikoni anaunguza.
Sasa shosti zangu fatilia apo chini utengeneze heshima kwa mumeo au kwa familia yako....
Mahitaji
Kitunguu maji 1.
Pindi unapo gundua umesha unguza wali basi menya kitunguu chako vizuuuri na funua wali wako katikati na ukitie (kizima kizima), acha kwa muda wa dakika 10.
Wali wako upo safi sasa kwa wanafamilia kutengeneza shavu.
Aksante!