Jinsi ya kuondoa harufu pindi unapounguza wali

Jinsi ya kuondoa harufu pindi unapounguza wali

So wali ukiwa umeutoa jikon au bado upo kwenye jiko pindi unaweka kitunguu maji!!??
 
Nilimfuma mahabuba wangu aisee si nikawaza kua ndo limbwata ila alinielewesha baada ya kuona nimetahamaki...and sikuisikia harufu ya kuungua niliyoisikia awali.Wapishi tumien ni njia nzuri.
 
Kwa hiyo harufu inanyonywa na kitunguu?
asante kwa kutuokoa maana hizi tamthilia za Be careful with my heart zinaleta kasheshe
 
wabongo wanachakachua kuanzia katiba mpaka mapishi.
 
Duu ebanaee new tecnic in my head yereeee uwiiii...
 
Hii naijua toka nikiwa ndogo bi mkubwa alikuwa anaitumia sana
 
Jamani Msaada Mapish Ya Pilau Hasajinsi Yakutarangi Nashindwa Jamani Msaada
 
Back
Top Bottom