kesho lazma niunguze.
nitajaribu hii
lazima ni apply hii
ntaunguza makusudi
Ndo ujanja ninaoutumia nikiwa nimeunguza wali
Owh i know that trick ni nzuri sana ahsante kwa ku share
Habari wana JF chef...
Tafiti zinaonesha ndoa nyingi zinavunjika majumbani na sababu ni wakina Mama na wakina Dada kilasiku kuunguza WALI, na sababu kubwa ni kushinda kwenye Tv , Vikoba , Upatu na magenge ya kusengenya watu mpaka jikoni anaunguza.
Sasa shosti zangu fatilia apo chini utengeneze heshima kwa mumeo au kwa familia yako....
Mahitaji.
Kitunguu maji 1.
Pindi unapo gundua umesha unguza wali basi menya kitunguu chako vizuuuri na funua wali wako katikati na ukitie (kizima kizima), acha kwa muda wa dakika 10.
Wali wako upo safi sasa kwa wanafamilia kutengeneza shavu.
...Aksante...
Wapishi wa majungu makubwa ya biriani huona wanaweka mkaa mmoja kwenye sufuria ya wali kwa kuletesha harufu nzur!
Shoga hiyo ya mkaa hata mimi naweka kwenye kuku wa tandoor nkimchoma kwa grill huwa nataka anukie kama nimemchoma kwa mkaa.....ntarudi nkuambie step by step
Ndoa zinavunjika kisa wali kuungua?? Hii ni shida basi.
Shoga hiyo ya mkaa hata mimi naweka kwenye kuku wa tandoor nkimchoma kwa grill huwa nataka anukie kama nimemchoma kwa mkaa.....ntarudi nkuambie step by step