Wakuu habari za muda huu?
Niend
Ushauri wenu wakuu ili niweze kujikontroll angalau hata nipate usingizi mana situmiii kilevi chochote sasa usiku unakua mrefu sana alafu mchana ndio natembea.
Pole mkuu,
Kuna Diazepam (Valium), Carbamazepine, zote zitakusaidia kupata usingizi.
Issue ni kufight tu, usiwakwepe rafiki zako kwa aibu wajulishe uhalisia wajue wao waweza kuwa msaada mkubwa kwako.